Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kigu, Oct 22, 2012.

 1. k

  kigu Senior Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  MWENYE MACHO HAAMBIWI TIZAMA

  kwanini jeshi la polisi lilikataa kuwa hawahusiki na utekaji wa sheikh faridi wakati waliomteka walijitambulisha ni askar na kumuonesha vitambulisho kabisa suala langu je hapa inamaana kuna vitambulisho feki vya askari na kuna raia wasiokuwa askar ambao wanamiliki silaha za kivita hapa nchini?

  kwanini tume ya utangazaji zanzibar ilizuia kabisa taarifa zozote zinazohusiana na uamsho zisitolewe wakati tume ilipotowa tamko hilo ndio siku ambayo alimuachia sheikh faridi hapa je tume walitaka wananchi wanaoishi maeneo ya mbali wasijue kuwa kaachiwa au vipi?

  Ni kwanini wamuulize sheikh faridi kuwa anauhisiano gani na sheni na Maalim seif kuhusu suala la kuikomboa zanzibar na kwanini wasimuulize kuhusu baloz seif .....?!

  kwa kawaida kila simu inayopigwa au kupigiwa kila mtu kwa sasa kampuni husika inazirikodi ili kuboresha huduma ya mawasiliano lakini cha ajabu masheikh walipokwenda zantel kuuliza kuhusu kupigiwa sim sheikh faridi walitoa rekodi kuwa simu yake imefanya mawasiliano ya mwisho saa kumi na mbili jioni tena na mke wake wakati watu waliomteka amesema sheikh faridi kuwa waliwasiliana hadi saa mbili usiku hapa niwaulize zantel je hawakuweka rekodi yake yakupigiwa sim.
   
 2. k

  katalina JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuliza jazba, shauri hili limepelekwa mahakamani leo. Hivyo kama unaushahidi wako kaupeleke mahakamani. Ni mategeo ya wengi kama kweli sheik Farid alitekwa itajulikana huko.
   
 3. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huo ndio ushahidi? Ha!
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mbona sioni ushahidi wowote hapo?
   
 5. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...tehehehe...kaaazi kweli kweli...hili ni "booonge" la ushahidi...
  Ukiwa wakili wake, lazima ufukuzwe mkuu.
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tumeusoma usahiri...
   
 7. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Ushahidi wa kipuuzi kiasi iki mwisho KISIWA cha CHUNDE.
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Huu ni utenzi sio Ushahidi
   
 9. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  Mbona kazi
   
 10. Azizi Mussa

  Azizi Mussa Verified User

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,639
  Likes Received: 2,289
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo wewe umejuaj je kwamba waliomteka walimwonyesha vitambulisho?kama walimuonyesha maana yake si anawajua kwa sura na majina?masi awaoneshe!na kuhusu mawasiliano,tutajua je kama huyu jamaa ni mkweli?kwa nini unamwamini huyu jamaa kuliko zantel?
   
 11. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umesema APo chini kuwa waliomteka wanasema walikuwa wakiwasiliana mpaka saa mbili wakati watekaji wakisema kwanini hukuwakamata? Uongo bila Akili ni janga kubwa sana


   
 12. Azizi Mussa

  Azizi Mussa Verified User

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,639
  Likes Received: 2,289
  Trophy Points: 280
  thubutu! Nani akatoe ushahidi mahakamani?atatoa faridi mwenyewe aliyeona vitambulisho.
   
 13. atubariki

  atubariki JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Huna jipya hueleweki lislokuhusu liskusumbue umevurugwa
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ushahidi upo wapi?
   
 15. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ulikuwepo ukishuhudia au umesimuliwa tu ukameza?
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Asante kwa ushahidi
   
 17. j

  joely JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,030
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hata km alitekwa kweli kwa ushaidi huu uwezi kvshinda
   
 18. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Dhaifu plus plus!
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Ukisikia akili matope ndio hizi, kama hujui watu huwa wanatekwaje muulize Dr Ulimboka.
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Aliyeandika hapa Katibu Msaidizi wa Uamsho Visiwani. Hat did anyone expect?
   
Loading...