slaa kutogombea tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

slaa kutogombea tena?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lukme, Oct 24, 2012.

 1. l

  lukme Senior Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hi wn jf. je kuna ukweli wowote kuwa kwa mujibu wa katiba ya CDM mtu haruhusiwi kugombea zaidi ya mara moja? hili nililipata leo asb kweny daladala. And infact michango ya wanachi kuhusu nxt president kwa mujibu wa mazungumzo ya abiria leo inaangukia CDM
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni mapema sana kwa sasa hivi kujua mgombea wa urais kupitia chama kubwa Kama CDM
   
 3. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Slaa ndio rais mtalajiwa 2015! Lipumba ndio hatagombea tena.
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni mapema mno kulisemea hilo, wacha wafanye ka
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Hii thread haina mchango wowote kwa CDM wala kwa taifa
   
 6. Rapha

  Rapha Tanzanite Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 631
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Mwenye softcopy ya katiba ya CDM aiweke hapa tuisome!!
   
 7. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watz wotye wanajua ni dr.slaa,,,,,,, nyie endeleeni tukupoteza muda
   
 8. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Si kweli!
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Sijui unatumia kichwa gani kufikiri! Hii thread ulioanzisha kutokana na story za kwenye daladala ndio unafikiri gt waijadili? Sidhani!
   
 10. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,815
  Trophy Points: 280
  Mapema muno!
   
 12. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hizo porojo za kwenye daladala kufupisha safari
   
 13. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  CCM ukiwatajia Dr w. slaa wana pata kizunguzungu,wanamuogopa mithili ya ELNINO.watakao amua nani agombee urais kupitia CDM ni wanachadema wenyewe.kelele zao hazituzuii kumchagua kwa mara nyingine kugombea.
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  First of all jirekebishe huo mwandiko wako hapa si Facebook bali ni jukwaa makini la Great Thinkers. Pili, Chadema tupo katika harakati za kukiimarisha chama katika kila kona ya nchi. Hivyo basi suala la Dr Slaa kugombea urais au kutogombea 2015 sio ajenda kwa sasa, muda wake bado haujawadia. Nadhani somo limeeleweka.
   
 15. J

  JokaKuu Platinum Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,769
  Likes Received: 4,983
  Trophy Points: 280
  ..mimi nitampigia Slaa, au mgombea yeyote atakayemuunga mkono.

  ..Tuombe uzima tu.
   
 16. Epason

  Epason JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 427
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mulize bi Kiroboto
   
 17. Rapha

  Rapha Tanzanite Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 631
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
 18. f

  fundimchundo Senior Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 23, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Dr. W. Slaa aligombea lini?
  Mwaka 2010 aliteuliwa na chama chake CDM bila yeye kugombea
   
 19. M

  Mea2 Member

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Siye ndiye
   
 20. M

  MORIAH Senior Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katiba inaruhusu, Wanachama wanampenda sana, na bado anakubalika. Atagombea wewe usiwe na wasi wasi wapembe tuko wengi kuhakikisha anagombea kwa sababu yeye ndo jembe la ukweli kusafisha ufisadi.
   
Loading...