Wakati TANZANIA ikiwa katika miaka zaidi 20 ya kupractise siasa za vyama vingi tangu mwaka 1992 imeendelea kuonekana dhamira ya srikali ya CCM ni kuidhofisha serikali kila inapobidi ili mradi...
Naamini CDM ni chama kitakachotawala kwa haki, na kuhakikisha kila nafasi ya utumishi wa umma inakuwa na mtu mwenye credibily. Kutokana na serikali ya CCM kuzitumia nafasi za kiutendaji serikalini...
Kwanza niseme wazi mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa na hiyo haininyimi haki ya kuchangia mijadala inayoendelea.
Uchaguzi wa UVCCM kama ilivyo chaguzi nyingi naamini umefanyika kwa...
Hivi waziri Mwinyi, unataka wangapi wafe chini ya wizara unazoziongoza ndipo uwajibike?
Milipuko ya mbagala iliua watu, ukasema kamwe hujiuzulu
Ulipoteuliwa kama waziri wa afya, ukasema...
The dispute which prevented Royal Dutch Shell from beginning exploration on four blocks off Zanzibar's coast or selling interests in its exploration rights in the region, which has become a hot...
Niko katika mji wa Namanyere. Umati mkubwa sana wa watu ukiongozwa na CHADEMA wanafanya maandamano kulalamikia hali mbaya ya maji na ahadi za uongo kuhusu umeme.
Hivi sasa wanaelekea kwa mkuu...
Inanisikitisha kuona watu wanapanda jukwaani badala ya kunadi sera wanaishia kuongelea watu.nilikua sijawahi hudhuria kampeni za hawa mabwana but what i observe is total a concotions. Wanadai...
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to His Holiness Pope Benedict XVI on the occasion of the Inauguration of the Pontificate...
Kwa wananchi wanaofahamu tofauti ya jeshi la polisi na jeshi la wananchi wa Tanzania, leo imeonekana kwamba kuna tatizo.
Kwa wale wananchi wasiofahamu tofauti ya majeshi haya mawili wameona ni...
MKAPA ASHIRIKI CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NYUMBANI KWA BALOZI WA TANZANIA UBELGIJI MH. DKT. DIODORUS KAMALA
Mh. Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akikaribishwa na Mama Balozi mara baada ya...
Kikwete, what a visionary leader
Nkwazi Mhango
I love and respect President Jakaya Kikwete beyond imagination. I am not a cohort or majordomo who loves him so that he can offer them some high...
Hawa wenzetu hawana jema, awali walisema wanadhulumiwa na Serikali ya CCM wakaomba ya Mseto wakajitamba kuwa itaondoa, kero zao zote, lakini sasa bado wanalalamika tena kuwa Serikali ya...
Kuna Washiriki fulani wanaojirudia rudia kila kipindi cha Malumbano ya Hoja ITV kama vile, Ibrahim Dimoso (aka mwananchi wa kawaida), Ole, ndg. Aweda, ndg. Ngowi n.k. Je, ina maana hao ndio...
Unakumbuka wakati Tibaigana akiwa kamanda wa polisi wa mkoa wa Dae es salaam,wa mkuu wa mkoa akiwa Mzee Makamba?
Wakiwa wakuu wa kamati ya ulizni ya mkoa wa Dar es salaam kwangu mimi bado naita...
Ni kweli lakini sababu kubwa ni kwamba Pesa ya USA haiendi serikalini kampuni zinazosambaza umeme mfano ni za marekani na pesa ya USA huwezi kuuiba. Pesa ya World Bank ingefanywa hivi tungekuwa na...
Katika pitapita zangu bimepata taarifa z kutosha kabisa kuwa vingunge hapo juu ni kitu kimoja na mkakati endelevu unasukwa ili kurahisisha kumkabidhi Mh.Lowasa nchi mapema 2015,Mbowe na Lowasa na...
Ccm wamekuwa wazurri sana na kucheza na matukio,ni lazima mtengeneze think tank ya chama,kazi yao iwe kufikiri tu,yafuatayo ni baathi ya matukio ambayo ccm wamecheza nayo ili kutuondoa kwenye...
Ndugu wadau wa Jamii Forum najaribu kujiuliza na kufikiri mara 2 mbili lakini sipati jibu! Hivi hawa jamaa wa CUF wamo kwenye ulingo kweli au hawajielewi baada kufunga ndoa ya mkeka kule Zenji...
Nimesoma habari ya Mh Nape kushangiliwa alipoingia katika ukumbi wa Mkutano wa Uchaguzi wa viongozi wa UVCCM Taifa pale Dodoma.
Vijana waliamini uwepo wa Mh Nape katika uchaguzi ule, kwa kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.