Tbc kama television ya taifa tanzania ni moja ya tv ambayo imekosa mvuto kwa wananchi walio wengi kwani ukiwa sehemu yoyote hasa zenye watu wengi kama kwenye baa,kumbi za starehe, na sehemu...
Wakubwa jana nilihudhuria sakata la wanafunzi kidato cha tano na sita walio fukuzwa kunako tarehe 5/10/2012 katika shule ya sekondari Engutoto katika wilaya ya Monduli, wanafunzi hao wameteseka...
Kadiri 2015 inavyosogea CHADEMA inazidi kusakamwa na tuhuma toka kwa wasioitakia heri kwa tuhuma hizi au zile zikiwemo za ukaskazini, migogoro ya ndani na kuhusishwa na ukristo na hivi karibuni...
Katibu Mkuu wa CDM Dr Wilbroad Slaa leo atahitimisha kampeni za udiwani kwa kufanya mikutano mikubwa mitatu katika kata ya Miyenze wilayani Uyui Tabora.
Kuna hamasa kubwa hapa wilayani Uyui na...
katika historia ya tanzania, upinzani umemark miaka ishirini hivi tangu uanzishwe rasmi., tofauti na matarajio ya wengi, kwamba angalau vitendo vya rushwa, matumizi mabaya au yasiyo ya lazima ya...
1.Mtakula nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe -Mramba
2.Foleni dar ni ishara ya maisha bora -Jk
3.Acheni wivu wa kike-Msekwa
4.Asiyeweza kulipa nauli apige mbizi-Magufuli
5.Baada ya kutumia...
Leo baadhi ya magazeti yakiwepo magazeti yenye majina makubwa yamempigia Chapua kigogo wa siasa za chama cha Mapinduzi, Edwad Ngoyai Lowasa kuwa washabiki wake wengi wameshinda.
Gazeti la...
Leo kuanzia saa Nane mchana Mhe.Zitto atakuwepo jimboni Rombo kuhitimisha Kampeni za Udiwani kata ya Nanjara Reha. Kata hii ni kati ya kata zaidi ya 13 ambazo CHADEMA ina uhakika wa kushinda KWA...
Katika hitimisho la miaka 50 tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu wasomi mbalimbali amesifu mchango wa chuo hicho katika masuala mbalimbali yanchi lakini wameonesha kutilia shaka baadhi ya wasomi...
Naibu Katibu Mkuu wa CDM Zitto Kabwe jioni hii anatarajiwa kutikisa mji wa Bagamoyo katika kampeni za kumnadi mgombea udiwani wa CDM katika kata ya Magomeni.
Mgombea udiwani huyo wa CDM anaungwa...
Mwanasheria mkuu wa serikali(AG) Jaji Werema amewasilisha muswada wa marekebisho ya mafao ya kujitoa katika ofisi ndogo ya bunge jijini Dar es Salaam ukiwa na maana utajadiliwa kwenye mkutano wa...
IJUMAA, OCTOBA 26, 2012 12:01 NA DEBORA SANJA, DODOMA
NAIBU Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema ripoti ya tuhuma za ufisadi, iliyowahusisha wabunge wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini...
Kwanza niwashukuru walioleta thread ya Ikulu ikionyesha barua iliyoandikwa kwenda Vatican kumpongeza Pope Benedict kwa kile Ikulu yetu ilichokiita {Inauguration of the Pontificate of His Holiness...
Wakuu Wanajamvi,
Hili suala la Mhe. Mulugo mimi bado linanisumbua. Suala si kukosea kutamka, hili kila mtu linaweza kumtokea, bali mimi tatizo langu ni mambo aliyoyazungumzia (content). Honestly...
Friday, May 27, 2011
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
TAARIFA KWA UMMA
UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA TANAPA
Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
Naomba sote,tuwachambue kwa uwazi bila ushabiki;wale wote tunatarajia watakuwa ni wagombea urais kupitia vyama vyao kama kweli wanastahili kuwa rais kipindi kijacho.Wana JF, tunaweza kabisa...
Baada ya kutafakari kwa kina, nimegundua kuwa kamati nyingi zinazoundwa ama na bunge au serikali aua na chombo chochote kile cha serikali ni kwa ajili ya kula fedha za wananchi tu bure. Hata kama...
Wakati vyama vya upinzani nchini vikii lalamikia serikali ya CCM kwa kukiuka misingi ya kidemokrasia. vyama vya upinzani vyenyewe ndani ya vyama hivyo hakuna demokrasia ama niseme navyo vinakiuka...
25/10/2012
0 Comments
Awali ya yote namshukuru mwenye twitter ID ya "Mabala The Farmer" @Decenttz kwa kuni-tag kwenye tweet-video ambayo imepachikwa hapo chini.
Kwa ufupi, katika video hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.