Habari za Asubuhi Wakuu,
Jumapili ya leo tutaangazia kuhusu GHARAMA ZA KUENDESHA VYAMA VYA SIASA NA RUSHWA KATIKA SIASA NCHINI TANZANIA. Mswaada huu uliwasilishwa na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji...
Ujio wa mweshimiwa Rais wa jamuhuri wa Tanzania wilayani same ni furaha kwangu, kwani wenyeji wa huku tutapata fursa ya kumuelezea matatizo yetu ikiwepo shida ya maji,,,, kwani mbunge wetu Matayo...
Mkutano wa kampeni za uchaguzi zimehitimishwa leo katika kata ya daraja mbili.
Kwa upande wa chadema mkutano ulihudhuriwa na viongozi Godbless Lema (kiboko ya magamba), Katibu wa mkoa Amani...
Ndugu zangu kila mmoja wetu hasa mtanzania anajua hali ya nchi kisiasa pamoja na maisha duni ya wananchi kwa sasa. Kwa upande wangu ninaona ili kuondokana na haya matatizo ni kuhakikkisha cdm...
Katika taarifa saa mbili usiku TBC, waziri Nchimbi anasema si haki kusema makanisa yaliporwa na waislamu, ila ni wahuni tu.
Je kama hivyo ndivyo ilivyo je kuna haja gani ya kuzuia mihadhara ya...
Kuna News ya Uhakika kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Bw.Majjid Mwanga kaachia kazi ya U DC na inasemakana atakayeshika hiyo nafasi ni DC wa Korogwe Bwana Mrisho Gambo...
U DC ni kazi ya...
SIKU chache kabla ya kikao cha Bunge kuanza mjini Dodoma, zimeibuka taarifa kwamba mmoja wa wabunge aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Nishati na Madini iliyovunjwa alishiriki kikamilifu kuendesha...
Wanajamii huku makete thamani ya kura imekuwa pombe za kienyeji baada ccm kununua pombe zote za kienyeji kwenye vilabu ,wanavijiji huku wametoka majumbani kunywa pombe za kienyeji kwenye vilabu na...
Toka aingie madarakani amekuwa akilisema sana hili la mtu kuamua aidha biashara au siasa (na uongozi wa umma).
Na sasa anasema wanaandaa muswada wa hilo
Swali langu ni kuwa, ikiwa...
Mh Godbles Lema ambae anasubiria "ruling" ya rufaa yake kupinga kuvuliwa ubunge katika maamuzi tata ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha akiwasindikiza kwa macho wakishuka jukwaani kinamama watatu...
Hawa wazanzibari wameona huku kwetu Tanganyika ni chooni ambapo wanaweza kuingia na kutoka lakini kwao huko ni master bedroom haingii Kila mtu. Sasa mimi najiuliza wabara wangapi wako huko na...
Jana ilikuwa sikukuu ya EID. Rais wetu wa Z'bar alikagua gwaride rasmi la Jeshi la Polisi kabla ya kuhutubia baraza la EID. Swali langu, hivi hufanya hivyo hata kwenye sikukuu za x-mas au pasaka...
Without order no structure will work. There is no order without discipline. The structure will fail if there is no discipline in the part of government and citizens.
A country as an...
MBUNGE wa Jimbo la Korogwe vijijini, Stephen Ngonyani amehoji uadilifu wa viongozi wa vyama vya upinzani akisema, bado wananchi hawapaswi kuwapatia ridhaa ya kuongoza kwa madai kuwa hawataweza...
Wakuu wa JF:
Natumai hamjambo na mmeamka salama wasalmini,Kesho ndio kesho ambapo kutakua na uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya Lwezera Tarafa ya Bugando wilayani Geita.
Uchaguzi huo...
Mimi nataka nijue sheria inasemaje kuhusu makampuni kuajiri foreigners.
Kama jana tumepata habari kampuni ya Sanctuary lodges (iko chini ya Abercombie & kent) kule Swala Camp manager ambaye ni...
Paka 2015 imebaki miaka 2 na miezi 2. Mwaka huo ni mwaka ambao watanzania wanaenda kuchagua chama ambacho kitajenga serikali ambayo inatarajiwa kuleta mabadiliko kisiasa,kiutamaduni na hasa...
si jambo la ajabu kwa wasomi, wanataaluma na wataalamu wa fani mbalimbali kujitumbikiza kwenye siasa. mfano raisi obama na aliyekuwa wazri mkuu wa Uingereza tony blair na rais Eisenhower alikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.