Wakati wapinzani wakiilalamikia serikali ya ccm kukiuka haki za kidemokrasia wao je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati wapinzani wakiilalamikia serikali ya ccm kukiuka haki za kidemokrasia wao je?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwemanga, Oct 27, 2012.

 1. m

  mwemanga Senior Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakati vyama vya upinzani nchini vikii lalamikia serikali ya CCM kwa kukiuka misingi ya kidemokrasia. vyama vya upinzani vyenyewe ndani ya vyama hivyo hakuna demokrasia ama niseme navyo vinakiuka misingi ya kidemokrasia. mifano ipo mingi ila hapa natoa mifano michachetu. (a) CUF,ktk uchaguzi mkuu wa chama uliouweka uongozi uliopo madarakani hivi sasa kulikuwa na ukiukwaji wa demokrasia ya ndani ya chama. sababu ukisoma katiba ya cuf uchaguzi wa kata unasimamiwana uongozi wilaya cuf wakakiuka katba wakaunda wasimamizi wa uchaguzi toka taifa kwenda mikoani kusimami kuanzia kata na wilaya. sababu ni kuandaa wajumbe wa mkutano mkuu taifa wamchague lipumba huku prof,safari akitangazwa pandikizi la ccm,ulipo fika mkutano mkuu safari aka nyanyapaliwa akapata kura6.(b)CHADEMA. Pia nmeona aliyo tendewa zito magazeti yaliandika aliambiwa toafomu akatoa wapi demokrasia (c)TLP.Mrema aliita kamat yake akachuja majina ya wapinzan wake akapitishwa yey wapi demokrasia. (4)NCCR,yaliyo mkuta kafulila jee?ipo wapi demokrasia.
   
 2. m

  mwemanga Senior Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kafulila alipozwa na kuhoji yakamkuta, hamadi rashidi amepozwa na kutangaza nia yakamkuta je? ipo wapi demokrasia. leo cuf,zipo taarifa kuwa 70% ya uongozi wa chama una kaimu ama kuna uongozi wa muda. mfano,wilaya kinondoni cuf m.kiti na katbu wa wilaya wana kaimu mwaka wa tatu sasa wakati katba inasema muda wa kukaimu usizidi miezi sita hili lipumba halioni au nini ipo wapi demokrasia haya nccr watu wana peana vyeo kama katika vikao vya kwenye kahawa ukihoji utashungulikiwa wewe ipo wapi demokrasia aibu nawataka viongozi tukubari demokurasia.
   
 3. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,806
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi ndani ya chama chako umekuchanganya na ndio maana umekuja fasta jf kuja kuondoa frustrations zako, mtoa rushwa mkubwa wee.
   
 4. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,806
  Trophy Points: 280
  Ni bora kiongozi anae kaimu kuliko viongozi wanao nunua uongozi kwa gharama yeyoteile. Uchaguzi wa jirani unaoendelea ni maigizo matupu, hakuna uchaguzi ccm ni kupanga nani ni mwenzetu akae wapi kwasababu gani basi.hakuna mtu hata mmoja asiye na pesa anaweza kupata uongozi ndani ya chama hiki.kama uchaguzi umewachanganya, tulizeni akili kwanza ndio mhamie kutazama ya vyama vingine.
   
Loading...