Mhe.Zitto aenda Rombo kuhitimisha Kampeni za Udiwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe.Zitto aenda Rombo kuhitimisha Kampeni za Udiwani

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Deus F Mallya, Oct 27, 2012.

 1. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Leo kuanzia saa Nane mchana Mhe.Zitto atakuwepo jimboni Rombo kuhitimisha Kampeni za Udiwani kata ya Nanjara Reha. Kata hii ni kati ya kata zaidi ya 13 ambazo CHADEMA ina uhakika wa kushinda KWA KISHINDO.

  (c) Mhe.Joseph Selasini Facebook Page.
  Nawatakia kila la heri Makamanda na wapiga Kura wote!.
   
 2. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Karibu sana Zitto, karibu kamanda. Hakikisha unapiga mtori, mbeere, mtango, mashalari, wari, ngararimo.
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hongera Zitto, hii ndio tunataka. Future yako ni kali, kuwa makini sana.
   
 4. imhotep

  imhotep JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 6,003
  Likes Received: 4,431
  Trophy Points: 280
  Zitto jembe,muandalieni mtori not poison.
   
 5. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  safi sana makamanda! spidi 180km per hr hakuna kulala.
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,130
  Trophy Points: 280
  Safi sana, wakati Magamba wakirumbana kama Rushwa ilikuwepo kwenye Chaguzi zao au La , CDM inatakiwa kumove mbele
   
 7. imhotep

  imhotep JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 6,003
  Likes Received: 4,431
  Trophy Points: 280
  Zitto kuwa makini saaana,watakumalizia hukohuko.
   
 8. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  yap naamini kurasa itafunikwa vizuri kabisa safi sana zzk.


  Mkuu DM na wewe utakuwa unahitimisha wapi ?
   
 9. commited

  commited JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  dogo zitto piga kazi kaka, acha mbwembwe mengine yatakufata, uzoefu wako ni muhimu wananchi ndio watakao kupima viatu, kaza buti cdm ni yetu sote tushirikiane kuijenga siyo kuibomoa
   
 10. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hayo ndio mambo tunayotaka kuyasikia kamanda Zitto tuimarishe chama kwa pomoja mambo mengine baadae
   
 11. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Bila ya kusahau na MBUZI KATOLIKI
   
 12. kipenga

  kipenga Senior Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  CHADEMA. . . . . .

  Vp huyo ndo mgombea Urais wenu au?

  Ningeomba ufafanuzi tafadhari.
   
 13. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  safi sana ni hatua nzuri kumuona KABWE karudi ulingoni kukijenga chama........
   
 14. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye hiyo kata kuna pumbavu mmoja alikuwa ni diwani kwa ticket ya cdm, akaamua kujiuzulu kwa shinikizo la ccm (mkuu wa wilaya na mkoa) baada ya magari yake kukamatwa na mahindi or sukari hapo himo yakidhaniwa kuvushwa kwenda kenya kinyemela. Wakamwambia akijiuzulu watamwachia akajiuzulu kweli. Stupid him!
   
 15. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,686
  Likes Received: 21,949
  Trophy Points: 280
  Urais wa TFF mgombea wetu ni Tenga. Zitto ni kamanda mmoja wapo wa M4C
   
Loading...