Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

hongera serekali kama hii tarifa ya kurejesha nyumba zilizouzwa zirejeshwe basi hapo nijambo la maana ila inabidi waliouza nao waazibiwe kwani saivi serekali wanapata tena hasara kuzinunua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo nimekwenda kukata tiketi ya Tabora to Dodoma kwa basi la NBS, Nikaambiwa nauli ni flat rate uwe unashukia Singida, Dodoma, Manyoni ni 40,000/= eti kisa level seat, nimeshangaa sana, hivi huku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamvi:- waziri wa nishati amesisitiza kuwa nchi haina mgawo wa umeme na hapatakuwa na mgawo katika tanzania yetu! Je, hili tatizo la kukatika umeme kila siku katika muda ule ule kwa muda wa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Rada ilinunuliwa kwa pesa za marekani 40 million. Ms. Short alimwambia Mkapa kuwa ile rada ilikuwa gharama mno, na kuwa Tanzania ilikuwa haihitaji rada ambayo pamoja na mengine ina uwezo wa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
JUMAMOSI, OCTOBA 27, 2012 09:59 NA WAANDISHI WETU, Z'BAR NA MIKOANI *Asema uvumilivu wa Serikali umefika kikomo *Dk. Bilal naye akunjua makucha, ataka utulivu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Siyo siri tena kwamba hali tuliyoizoea ya kujiona wamoja katika nchi yetu sasa wanasiasa wamo mbioni kuibomoa na kuingamiza ili wao waendelee kustawi katika mgawanyiko huo. Si usalama wa taifa au...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Nimependezwa na staili anayoitumia mgombea wa Republican ; ya Copy and paste; Nashauri vyama vyetu vya upinzani kuiga.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ofisi ya RC Mwanza iko kati ya jengo la Polisi mkoa,TRA na Mahakama na mbele ya kuna barabara moja ya one way traffic kutokea upande wa jengo la CCM kwenda Mahakama. Ukitoka ofisi ya RC lazima...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimesikitishwa na uhamuzi wa Mh Mwakyembe. wa kuanzisha usafiri wa trani jijini Dar es Salaam; 1. Hii ni serikali kuanza ukiritimba wa kufanya biashara ambayo ilishindwa toka kipindi...
0 Reactions
90 Replies
9K Views
  • Closed
Gazeti la Mwananchi la leo, limemkariri Sheikh Kondo Juma akisema Alhamisi wiki ijayo, shule zote za Kiislamu, Dar, zitafungwa ili kuruhusu wanafunzi kwenda Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi ya...
7 Reactions
142 Replies
11K Views
Akihutubia katika swala ya eid el haji, amesema serikali imechoka kuwavumilia wanaoanzisha vurugu na uchochezi wa kidini. Amesema serikali itamchukulia hatua mtu yeyote atakayejihusisha na vitendo...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
KIKOSI maalumu cha vyombo vya usalama chini ya Jeshi la Polisi, kimewatia mbaroni jijini Dar es Salaam watuhumiwa watano muhimu wa mauaji ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow...
3 Reactions
81 Replies
11K Views
Leo tarehe 20 rais ametia timu Dodoma na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali waandamizi akiwemo waziri mkuu japo mpaka sasa ajenda haijajulikana lakini hii ni shku moja baada ya kuitwa...
2 Reactions
103 Replies
10K Views
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, ameshtushwa kupanda kwa bei ya vyakula na gharama za maisha mijini.Kutokana na hali hiyo, Rais Kikwete ameagiza chakula cha akiba cha...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Hivi Rais anaposema, Nawaambieni, mkifanya mchezo ipo siku mtakuja kujuta maana mkishamchagua kiongozi asiyefaa, mtalazimika kuwa naye huyohuyo hadi 2017, na kama Waswahili wanavyosema majuto ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hali ya kata ya tamota imekuwa nzuri sana tangu mchakato wa kutafuta mgombea ulipo anza mpaka sasa, watu wengi wamekuwa wakijitokeza katika mikutano ya chadema, kitu ambacho kwa CCM na CUF...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
leo muda huu waandishi wa habari wameondoka katika mkutano ulioitishwa na naibu waziri wa uchukuzi kwa kile walichokidai kuwa wamedharauliwa na kuwa naibu waziri haendi na muda. source maasinda
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mbunge wa Mtera bwana Livingstone Lusinde ameishangaa serikali ya chama cha mapinduzi kwa namna ilivyotelekeza shule za primary na sekondari katika jimbo lake na ameshauri kama wameshindwa ni bora...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi ule mpango wa kujivua gamba ulikuwa ni mchezo wa kuigiza? Alafu kituko ni kwamba, naona wale watuhumiwa wa kujivua gamba baada ya kuchafuliwa na falsfa hii wamelipwa fadhila kwa kupewa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naona kuna mhimili wa nne umekuja bila hodi Kibaya zaidi ni pale nnaposhuhudia huu mhimili kuwa na nguvu kuliko hii mingine Hapo awali kulikuwa na mihimili mitatu 1,Serikali/Rais 2,Mahakama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom