Tbc tafuta wabunifu wa vipindi katika tv yenu,vipindi vyenu ni vya kizamani.

hayaland

JF-Expert Member
May 4, 2012
712
399
Tbc kama television ya taifa tanzania ni moja ya tv ambayo imekosa mvuto kwa wananchi walio wengi kwani ukiwa sehemu yoyote hasa zenye watu wengi kama kwenye baa,kumbi za starehe, na sehemu nyingine nyingi,tumeona na kushuhudia wananchi wengi wakiikataa chanel hiyo na kusema toa toa hiyoaina issue(aina mpango)taarifa ya habari ndo usisemne kabisa,ili kuamini ili fanyeni utafiti wa kina mtagundua.tafuta taarifa zenye kupendwa zaidi na walio wengi hasa vijana ambao ni wengi zaidi nchini.mfano taarifa za zinazohusu vyama vya siasa kaka ccm,chadema,cuf na sio kukalia tu chama tawala watu wengi wamekosa moyo na tv yenu.program inatowapamba zaidi ni the commedshow tu.afadhari zaid vipindi vya redio kama tbc taifa na tbc fm.kazi kwenu.
 
tbc imeshakufa, bado hawataki kukiri tu,ubunifu hamna!ndio maana utakuta muda mwingi ni mavipindi ya china utadhani ni cctv!,na muda mwingi ni mavipindi ya muzic wa bongo flavour tu,ili kufukia muda tu.
 
Afu ulizia mishahara na maposho wanayopewa. Naskia wanakula housing allowance 600 bila kukatwa kodi wakati TRA wanasema kila kipato lazima kikatwe kodi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tbc kama television ya taifa tanzania ni moja ya tv ambayo imekosa mvuto kwa wananchi walio wengi kwani ukiwa sehemu yoyote hasa zenye watu wengi kama kwenye baa,kumbi za starehe, na sehemu nyingine nyingi,tumeona na kushuhudia wananchi wengi wakiikataa chanel hiyo na kusema toa toa hiyoaina issue(aina mpango)taarifa ya habari ndo usisemne kabisa,ili kuamini ili fanyeni utafiti wa kina mtagundua.tafuta taarifa zenye kupendwa zaidi na walio wengi hasa vijana ambao ni wengi zaidi nchini.mfano taarifa za zinazohusu vyama vya siasa kaka ccm,chadema,cuf na sio kukalia tu chama tawala watu wengi wamekosa moyo na tv yenu.program inatowapamba zaidi ni the commedshow tu.afadhari zaid vipindi vya redio kama tbc taifa na tbc fm.kazi kwenu.

vipindi vya kishenzi tu!!
 
Back
Top Bottom