Dr Slaa kuhitimisha kampeni za udiwani kwa kishindo leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa kuhitimisha kampeni za udiwani kwa kishindo leo

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Molemo, Oct 27, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Katibu Mkuu wa CDM Dr Wilbroad Slaa leo atahitimisha kampeni za udiwani kwa kufanya mikutano mikubwa mitatu katika kata ya Miyenze wilayani Uyui Tabora.
  Kuna hamasa kubwa hapa wilayani Uyui na kuna uwezekano mkubwa wa mgombea wa CDM kushinda kwa idadi kubwa ya kura.
  Tangu Dr Slaa aje kanda ya ziwa wiki mbili zilizopita amefanya kazi kubwa usiku na mchana kuhakikisga ushindi wa chama chake.Tayari amepiga kampeni kubwa katika kata saba za Lwenzera(Geita),Bugarama(Kahama),Karitu(Nzega),Lubili(Misungwi) na Mwawaza(Shinyanga).
  Mbali na Dr Slaa pia viongozi kadhaa wa CDM akiwemo Mwenyekiti Freeman Mbowe watahitimisha kampeni za wagombea wa CDM katika maeneo tofauti nchini.Wakati Mwenyekiti Mbowe atahitimisha huko Kusini Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe anatarajiwa kuhitimisha huko Rombo katika kanda ya Kaskazini.
   
 2. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asante kwa newz mkuu. Na uchaguzi utafanyika lini rasmi ?
   
 3. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Sijawasikia kabisa CUF kwenye kampeni hizi. Kulikoni Mtatiro?
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,130
  Trophy Points: 280
  CUF wako katika kuwaza cha kukopi kutoka CHADEMA, muda si mrefu utawasikia wametoka na copy nyingine
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakopi ya nyololo kama wanaume
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Uchaguzi wenyewe ni lini
   
 7. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Safi my president Dr Slaa! may GOD bless you.
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi utafanyika kesho katika kata 29
   
 9. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ndoa ya CCM na CUF imekufa! mtoto wao UAMSHO yuko rumande!
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ni ngumu kusafirisha watu kutoka Dar kuwasambaza katika kila kata
   
 11. n

  ni_mtazamo_tu Senior Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wale wale.. Hv Dr silaha anaswalisha kanisa gani wakuu
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kwa hili la kampeni za udiwani wamechemsha.Pale Arusha wanahutubia watu wasiozidi kumi.
   
 13. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...yaliyowakuta Arusha wamewatisha,sasa hawajui waanzie wapi...
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi ni kesho tarehe 29
   
 15. M

  Molemo JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Walidhani wenzao wamejijenga hivi hivi tu.
   
 16. kipenga

  kipenga Senior Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  CHADEMA Punguzeni kelele na hizi taarifa zenu kila kukicha.

  Sasa hii ni habari kwa UMMA, Kampeni, au wewe ndo msemaji mkuu wa CDM. . . .

  Vipi, CCM hawafanyi campen au wew ni ripota wa CDM tu!

  Punguzeni munkari, uchaguzi kesho kila kitu kitafahamika, siyo kuja jf kutoa mapovu tu.
   
 17. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  View attachment 69488 VUMBI na CAROLITE wapi na wapi? au atakuwa Hotelin maana intelijensia inasema ataangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali na sababu hawezi kushoneka atabaki HOTELIN
   
 18. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  punguza jazba.....CHUNGU LAKINI DAWA........utafanyaje meza tuu
   
 19. m

  mashila Senior Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  acha kutoa mapovu kipenga kwa upande wako siyo habari ya muhimu kwani unajua anguko lenu lipo on the way, na CHADEMA TUNAPOKEA TAARIFA KUTOKA KWA WANACHAMA WETU WENYE MAPENZI MEMA NA CHAMA. PEOPLE,S 4 REVA
   
 20. m

  mashila Senior Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ( Asigwa Achana na huyo) HAONI PA KUGEUKIA KWANI TUMEWAKABA KOTE KOTE so ni lazima apige yowe, PIA UKIRUSHA JIWE GIZANI UKASIKIA MAMAAAAAAA, UJUE LIMEMPATA MUHUSIKA.
   
Loading...