Top 10 kauli zenye changamoto: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Top 10 kauli zenye changamoto:

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Emma., Oct 27, 2012.

 1. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  1.Mtakula nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe -Mramba
  2.Foleni dar ni ishara ya maisha bora -Jk
  3.Acheni wivu wa kike-Msekwa
  4.Asiyeweza kulipa nauli apige mbizi-Magufuli
  5.Baada ya kutumia helikopta jeshi kwenda nayo Urambo mlitaka nipande punda?-Kapuya
  6.Wabunge wa dar wanafikiria kwa kutumia makalio-Masabuli
  7.Ukitaka kula lazima uliwe-Jk
  8.Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua?-Wassira
  9.Kila mwananchi atabeba msalaba wake -Mkulo
  10.Wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao -Jk
  TAFAKARI CHUKUA HATUA CDM NDIO MKOMBOZI TU..TEGEMEO JIPYA KWA WATANZANIA.
   
 2. G

  Ginner JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  kauli ya Mkuko naiunga mkano kwa asilimia zaidi ya mia moja..........tutadanganyana sana, wengine watatoa ahadi kemkem ila ukweli utabaki kuwa....maendeleo yataletwa na sisi wenyewe kama kila mmoja akichukua msalaba wake na kuubeba kwa mikono yake mwenyewe kuelekea golgota.......hakuna mwingine wa kubeba msalaba wa mtu, si serikali wala chama cha siasa.. ni wewe mwenyewe
   
Loading...