Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,237
Sio tu pastor fake bali huyu ni porn starUmempima kwa kipimo gani kujua ni fake
Sio tu pastor fake bali huyu ni porn starUmempima kwa kipimo gani kujua ni fake
Ngereja kaanguka chini puuuuuh, kifo cha mendeJamani vip taarif za mgombea ubunge jimbo la sengerema mjini maana huko sijasikia lolote vipi kuhusu wiliam ngereja na skendo zake za rushwa Nasikia kuna dogo mmoja anaitwa Martin alikuwa anamnyima usingizi naomba kujua alietoboa kwa anaefaham
Huyo saaizi hata waumini hana baada ya kuanza kuhubiri ukabila........Gwajima hamna kitu rudi kanisani mzee, Kajipange tena
Huu ni uchoyo na uroho wa hali ya juu sanaYaaani kutoka first lady kote hajatosheka
Hatuwezi kumpa ubunge akatunge sheria za kutukandamiza wananchi na kujipa yeye na viongozi wengine ruhusa ya kuvunja katiba ya nchi bila kushitakiwa.....Nadhani wanataka kutumia figisu kumpitisha ila kwa Mbeya patachimbika aisee hawa jamaa ni watata sana.
NAONA UPINZANI UNAPITA KIRAHISI SANA
Chama cha kaka wa mama😀😀Hawa ndugu!??View attachment 1512983
Umy Yuko vizuri kipindi Cha covid alipambana Hadi huruma huku wanaume wote wakawa wamekimbia wamejificha, she deserve kwa kweliNimeona na kupata nyepesi nyepesi kuwa Umi Mwalim amekuwa wa kwanza kura za maoni.
Mungu amzidishie huyu mama kipindi cha COVID19 amepitia magumu mno
Wananchi wameliona hili nilishawahi kumsifia humu watu wengine wakabeza.
Huyu mama nampenda mno utendaji wake mwanangu ningekuwa na uwezo ningesimamia uwe waziri tena wa Afya.
Mkwe wangu(mumeo) amepata mke
katoboa Tabasamu.Jamani vip taarif za mgombea ubunge jimbo la sengerema mjini maana huko sijasikia lolote vipi kuhusu wiliam ngereja na skendo zake za rushwa Nasikia kuna dogo mmoja anaitwa Martin alikuwa anamnyima usingizi naomba kujua alietoboa kwa anaefaham
Naomba kuuliza masuali yafuatayo?
1. Kura hizi hupigwa na vipi na ni nani anastahiki kupiga?
2. Ni nani anaehesabu kura? maana kwa kuangalia tu hata mtoto mdogo atagundua kuwa jumla ya kura zilizopigwa hazilingani na kura walizopata wagombea. Kwa nini hazikuelezwa zilipokwenda kura nyengine? Au ndio ile kazi ya ku foji inaanzia ndani ya ccm kwenyewe?
Rasimu ya katiba ya Warioba iliyaadress haya lakini ndo hivyo mchakato ukawa bahati mbaya.Kuna umuhimu Wa kuwa na mikataba ya utekelezaji Wa ahadi, muda mfupi, Wa kati na mrefu. Mtoa ahadi akishindwa kutekeleza ahadi zake ajiuzuru. Apewe mshindi Wa pili nae akishindwa apewe wa tatu. Nadhani watahofia kupoteza kibarua mwisho Wa siku watafanya kazi kuliko maneno
Kashinda Hamis Tabasamu msaliti aliyehama Chadema.Ngeleja wa pili.Jamani vip taarif za mgombea ubunge jimbo la sengerema mjini maana huko sijasikia lolote vipi kuhusu wiliam ngereja na skendo zake za rushwa Nasikia kuna dogo mmoja anaitwa Martin alikuwa anamnyima usingizi naomba kujua alietoboa kwa anaefaham
Safi sn maana huyu ndo wale mbwa badala ya kutetea wananchi yy kazi yake ni kutukana wapinzani na kutetea rais....... Ng'ombe kabisaa hawa jamaa maccmYule muongea pumba na kuomba miongozo na kutoa taarifa zisizo na Kichwa wala miguu Bungeni adondokea pua View attachment 1513163
Bila shaka mkuu........Huyo Dr. Sebuyoya mbona Mrundi kabisa? Atakuwa alikuja ma mwenyekiti huyu!
Huyo mjaa laana huko angepata sufuri kabisa km ilivyo elimu yakeBashite angegombea ukonga angeshinda labda Kama aliwaogopa wakurya wa chadema
Waliodondokea pua jana na leo Updates
Babu Tale Apeta Morogoro vijijini
Mwita Waitara apeta
*
*
Wasanii na watangazaji
1.Mc Pilipili kura 1 Bahi
2.Mwijaku kura 0 Chalii Kawe
3.Dk Issac wa Clouds Chalii Ubungo
4.Zamaradi kura 2 Kinondoni
5.Kalapina kura 1 Kinondoni
6.Steve Nyerere Chali Iringa mjini kura 6
7.Mpoki 0 Kigamboni
8.Mwana FA Muheza Chalii kura 296 nafasi ya 2
Waunga mkono juhudi
1.Lijuakali Kilombero kura 5
2.Silinde Chaliii Tumduma
3.Lazaro chalii Arusha mjini
4.Mtolea Temeke Chalii
5.Kafulila Kigoma kusiniChalii
6.Katambi Kahama Chalii
7.Ktulia Chali Kinondoni kura 11
8.Nassari chalii Arumeru Mashariki kura 22
9.Dk Mashinji kura 2 Kawe
10. Paul Gekul
11.Albert Msando
Wengine
1.Askofu Gwajima 79 Kawe
2.Pascal Mayalla kura 1 Kawe mwa Jf mwenzetu
3.Dk Mwakyembe mwenye digrii 4 ( mzee ana dharau huyu kawakejeli wajumbe wameishia la saba) chalii kura 256, wa kwanza kura 750, Kyela
4.Makonda Kigamboni Chalii
5.Kitwanga katwanga na Mnyeti huko Misungwi
6.Sipirian Musiba Chalii Mwibara
7.Goodluck Mlinga
8.Angela Kairuki
NB: Wale waliotoka upinzani na kuunga mkono juhudi wote wamedondokea pua
Kasoro Mwita Waitara
Katika jimbo la Mlimba kulikuwa 39, Godwin Kunambi ameongoza kwa kupata kura 193, na alifungana na Rose Rwakatare aliyepata kura 193.Jimbo la mlimba ameshinda nani ?
Katika jimbo la Mlimba kulikuwa 39, Godwin Kunambi ameongoza kwa kupata kura 193, na alifungana na Rose Rwakatare aliyepata kura 193.Mlimba ??