Mbunge aliyatamba na kupata jina katika awamu yake moja ya ubunge (2010-2015) chini ya NCCR-Mageuzi bwana David kafulila amepigwa za uso na Mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo Hilo,Hasna Mwilima.
Dhambi ya usaliti wa upinzani haitawaacha salama, wajifunze kulidhika.View attachment 1512628
Hebu ngoja kwanza tumalizie sherehe za uhuru tulioletewa na wanaKigamboni
 
Haijalishi tunampenda kiasi Gani mtu ambae kashindwa kwenye kura za maoni kwenye Jimbo Bali tuangalie Hata wajumbe walio piga kura kile wanacho kipenda Ina maaana ndo watakinadi.

Kuliko kuweka mtu Alie feli hivyo kwenye kampeni Kuna tuasilimia Fulani watu wakawa sio supportive.

Labda kwa wale walio pushana angalau kura chache mifano 10 Etc
Ndugu wakuu wa Siasa tusiweke bidhaa mbovu sokoni Ili kuihangaikia marketing yake kua Ni ngumu mno.

Tuweke bidhaa inayo jiuza yenyewe Kama wajumbe walivo pitisha
IMG-20200718-WA0018.jpg
 
Kama viongozi uliowateua, timu uliyoongoza na wale uliowasajili kutoka upande wa pili wanakataliwa kwa nguvu hivi ndani na nje ya chama chako - unafikiri wewe unakubalika?

Ukiona mtoto wako kipenzi anazomewa na kudhihakiwa ujue na wewe unasubiriwa siku yako ifike!

#ChangeTanzania
 
Back
Top Bottom