Anawashukuru Watanzania Wakenya Wabelgiji kwani anamchanganyiko wa damu nyingi sana
Watu wako kimya wanasikilza
Operesheni 17 kafanyiwa

Damu ya wakenya ni mara 3 ya damu iliyokuwepo mwilini mwake
 
Corona ina stigma kama HIV Aids?

Hiyo ni mpya kwangu!

Watu wengi wanaoipata hiyo corona, wanapona.

Odds za mtu kupona ni kubwa sana kuliko za mtu kufa.

Hata mimi nahisi mnamo mwezi February niliipata. Lakini nikapona bila hata dawa na wala sikuumwa kivile.

Kuilinganisha corona na HIV Aids, sidhani kama ni sawa aisee.

Na hizo habari za stigma ndo kwanza nazisikia leo. Nilikuwa sijui kabisa.
 
Kuna jamaa anapiga kelele anasema alikatazwa hata maombi asimuombee Lissu
 
Hebu tutoleen upuuzi wenu hiyo issue kazungumzieni huko mataga pambav
 
La mwisho
Anasema anawapa pole Wanachama wa CCM kwa kuondokewa na mwenyekiti wao wa miaka 10 wa CCM
Pia anawapa pole Watanzania kwa kuondokewa na Raisi wetu
Anasema huu msiba ni wetu sotesio wa Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…