Anawashukuru Watanzania Wakenya Wabelgiji kwani anamchanganyiko wa damu nyingi sana
Watu wako kimya wanasikilza
Operesheni 17 kafanyiwa

Damu ya wakenya ni mara 3 ya damu iliyokuwepo mwilini mwake
 
Ni semantics tuu hizo. Watu wanakufa kutokana na complications zinazotokana na wao kuwa wameathirika. Chances are wasingekuwa na Ukimwi hayo magonjwa mengine yasingewapata. Ndio maana Mandela alitangaza wazi kuwa mwanae alikuwa muathirika na kifo chake kimesababishwa na status yake kama muathirika. Sisi hatusemi hilo kwa sababu bado huo ugonjwa umekuwa stigmatized. Na ndivyo ilivyo kwa Corona.

Amandla...
Corona ina stigma kama HIV Aids?

Hiyo ni mpya kwangu!

Watu wengi wanaoipata hiyo corona, wanapona.

Odds za mtu kupona ni kubwa sana kuliko za mtu kufa.

Hata mimi nahisi mnamo mwezi February niliipata. Lakini nikapona bila hata dawa na wala sikuumwa kivile.

Kuilinganisha corona na HIV Aids, sidhani kama ni sawa aisee.

Na hizo habari za stigma ndo kwanza nazisikia leo. Nilikuwa sijui kabisa.
 
Hebu tutoleen upuuzi wenu hiyo issue kazungumzieni huko mataga pambav
 
La mwisho
Anasema anawapa pole Wanachama wa CCM kwa kuondokewa na mwenyekiti wao wa miaka 10 wa CCM
Pia anawapa pole Watanzania kwa kuondokewa na Raisi wetu
Anasema huu msiba ni wetu sotesio wa Magufuli
 
172 Reactions
Reply
Back
Top Bottom