Burundi pia ilikombolewa
Ha ha ha Mimi nimenukuu maneno ya mzee wetu hayati Mkapa alipowaambia wanaobeza thamani ya CCM kwa nchi hii..........

Mbona wengine wamemnukuu juu ya tume huru?!!!
Relax mzazi watanzania kwa umoja wetu tulimuombea Lissu apone km tulivyoomba Corona iishe.
 
Hizo ndio akili zenu

Wazazi sasa hivi wanajivunia sio tu hakuna hada shule zinajengwa na kukaratibiwa nchi nzima.

Unaambiwa sasa hivi vimemo aviishi wizarani wazazi waliokuwa wanaona private dili sekondari leo wanapigania watoto zao waende shule Kongwe.

Huu mtiti sasa umeshuka primary hakuna mtoto kukaa chini wala madarasa kujazana.

Hakina Mbowe et al waliokuwepo washachoka na Magufuli kila wanapochungulia kuna kazi; Lissu ndio kaingia ngoja aione Tanzania mpya atachoka tu ata mwezi aufiki.

Sitegemei kingine kwa Lissu kwenye hoja zaidi ya risasi 16 vipi watanzania atawafanyia nini hana, next atarudi kuwa Lissu yule yule mzee wa kupinga tu.


Watu wanahamisha watoto wao Private kwa sababu hali ya kiuchumi ni ngumu hakuna pesa.

Yaani binti yangu ana 5yrs anajua kusoma na kuandika kiswahili na English, anajua hesabu za kujumlisha na kutuo,yupo darasa la kwanza tu wakati mwa wangu anafundisha shule za Magufuli mtoto yupo form one hajui kusoma wala kuandika. Halafu niwe na pesa nimuhamishie binti yangu kwenye hizo shule,mbona watoto wa viongozi wa serikali na wanasiada wa CCM hawasomi kwenye shule za elimu bila malipo? Nenda kawaongope Wajumbe wa CCM huko wazee wa kamati ya roho mbaya.
 
AHSANTENI WAKUU NAMI NARUDI MAANA TOKA SAA 6 HADI SASA SIJATULIA NA KESHO TUNAMSINDIKIZA MBEBA MAONO

Mh.Hallima Mdee Shalom!
Mh.Jipange vizuri Mana pale Kawe na UWEZO MKUBWA wa KISIASA wa ndg.Furaha Dominick,sijui km utatoboa...nisalimie mama mdogo mama Mdee pale JIRANI na HOSPITALI ya kairuki.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Anasema kesho tumsindikize tumpeleke uwanjani
Watu wanashangilia saaaaana
Wengine wanasema saa ngapi wengine wanasema kama vipi twende sasa hivi tukupeleke

HUYU LISSU NI MBEBA MAONO
Duhh.. Nomaa.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Police kuna chumba changu kinaitwa lissu asanteni

jamaa ni mzimu " ... Katika karne hii ya 21 hakuna m-tz ambaye ni mzalendo wa kweli kumshinda lissu " ...

Imagine mtu kapigwa risasi 16 but still amekuwa na ujasiri wa kurejea katika taifa ambalo lina tawaliwa na watesi wake Duuhh !!!

Huyu jamaa ni unbeaten
 
"Katika utamaduni wa kawaida watu wanaoponea chupuchupu kama mimi huwa wakikanyaga udongo wa nchi yao huwa wanapiga magoti na kubusu ardhi ya nchi yao, nilitamani na mimi nifanye hivyo, lakini goti halikunji, kwahiyo siwezi tena kupiga magoti" - TunduALissu
 
Tangu Janga la Corona lianze Wapinzani wote Tanzania wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakibeza na kupinga kila hatua iliyokuwa ikichukuliwa na serikali kwenye kupambana na Corona. Mh Mbowe yeye alienda mbali zaidi akadai Kuna mamia ya watu wanakufa na kuzikwa usiku huku hospital kama Amana na Mloganzila zikiwa zimefurika wagonjwa.
Hawakukubaliana na Chochote kwenye Mapambano dhidi ya Corona badala yake walikuwa wakisifia mataifa jirani huku wakidai serikali ya Tanzania imeamua kuua watu wake makusudi kwa Corona hadi ikafikia hatua wakasusia bunge.

Sasa leo ni ajabu watu hawa wanao amini kuwa kuna mamia ya watu wanakufa kwa Corona Tanzania wanafanya mikusanyiko tena bila tahadhari yoyote.
View attachment 1518743
View attachment 1518745View attachment 1518747View attachment 1518748

Huyu nae alikuja akiwa amevaa barakoa ila alipofika JNIA akaivua
Inamaana ameivua kwasababu anajua amefika sehemu salama.
View attachment 1518752

View attachment 1518756
View attachment 1518758

Kwa hali hii tukiwaita wanafiki wala hatutakuwa tumekosea.
Askofu Mwamakula kwa Mbareeeee!!
 
Watu wamekewa mziki wanacheza kumbuka hakuna hata pa kukanyaga tunamsubiria LISSU AJE KUTUAGA

IMEWEKWA NYIMBO SIJUI INAITWA NARUDI NYUMBANI WATU WANASHANGILIA wimbo umezimwa
Watu wanaimba Raisi Rais Rais....
Jamaa zetu wata tuliga jamani!! Waineeni huruma.. Kuhudhuria mambo yao hadi muwape hela. Huku wana kuja wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom