Gwajiboy aligombea ujumbe wa NEC mama na kamati yake wakamuona hatoshia wakampiga panga. Hiki kitu kilimuuma sana Gwajiboy.

Sasa hivi anatumia chanjo kummaliza mam kisiasa. Ajenda ya Gwajiboy sio kupinga chanjo ila ni kummaliza mama kisiasa.
Mama awe makini. Gwaji atatumia chanjo na ukabila kummaliza.
Mumemtelekeza mwenyekiti?
 
Mama gani? Dictator?
 
Ni bora zijibiwe hoja za Gwajima juu ya Chanjo hiyo kuliko kuhusisha mambo mengine ambayo yeye Gwajima hajayasema! Mbona Marehemu Magufuli naye aliwahi kutoa tahadhari juu ya Chanjo kama hizi?
 
Mimi si mshabiki wa Askofu Gwajima. Lakini nakubaliana naye kwa ishu ya chanjo. Ni mtu mjinga pekee ndio anaweza kubali Chanjo.

Mungu hakosei kuhusu immunity aliyomuumba nayo mtu. Why chanjo now?
Ulizaliwa mwaka gani?
 
Ni bora zijibiwe hoja za Gwajima juu ya Chanjo hiyo kuliko kuhusisha mambo mengine ambayo yeye Gwajima hajayasema! Mbona Marehemu Magufuli naye aliwahi kutoa tahadhari juu ya Chanjo kama hizi?
Hana hoja zaidi ya kupotosha na kuleta taharuki.
 
Gwajiboy aligombea ujumbe wa NEC mama na kamati yake wakamuona hatoshi wakampiga panga. Hiki kitu kilimuuma sana Gwajiboy.

Sasa hivi anatumia chanjo kummaliza mama kisiasa. Ajenda ya Gwajiboy sio kupinga chanjo ila ni kummaliza mama kisiasa.
Mama awe makini. Gwaji atatumia chanjo na ukabila kummaliza.
Wote ni wabovu tupu
 
Kumaliza sasa hivi ni rahisi sana kuliko ilivyokuwa huko nyuma ndio maana anapambana ili aache legacy YouTube ya kupinga wajeda & maaskofu kupigwa chapa ya mnyama aliyewaua màgufool,nkurunzinza &rais wa Haiti
 
Gwajiboy aligombea ujumbe wa NEC mama na kamati yake wakamuona hatoshi wakampiga panga. Hiki kitu kilimuuma sana Gwajiboy.

Sasa hivi anatumia chanjo kummaliza mama kisiasa. Ajenda ya Gwajiboy sio kupinga chanjo ila ni kummaliza mama kisiasa.
Mama awe makini. Gwaji atatumia chanjo na ukabila kummaliza.

Mkono wa BAUNSA ni Tapeli.
 
Back
Top Bottom