SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,758
Gwajima anamtuhumu Mh. Rais Samia kuwa amehongwa hela ili kukubali chanjo,huyu amevuka mipaka ashughulikiwe.
Uzuri ruhusa ya kuhamia burundi tayari ipo.Zipo taasisi/kampuni zitaweka sera ya kuchanja wafanyakazi wao wote kwa lazima. Najua serikali wanasoma maoni yetu, utolewe muongozo utaosimamia raia wake juu ya uhuru/hiari kushiriki hizi chanjo.
Twende na hili swala kwa akili!
Tanzania siyo nchi ya kwanza kuchanjwa. Nchi nyingi tu wameshachanjwa kwa zaidi ya miezi 5 sasa .... Kudai kuwa tusibali kufanyiwa majaribibio huo ni upotoshaji wa hali ya juu .... Nchi karibia zote walishapokea chanjo na sisi mpaka sasa ni katu ya nchi cheche ambazo hazijapokea. Nchi kama South Africa tu kuna watu zaidi ya million 5 tayari wameshachanjwa, Mauritius wamechanja zaidi ya 60 % ya watu wao, Seychelles almost every adult ....!!Ndugu mimi ninaomba kujua tu. Nani anaejua matokeo halisinya hizi chanjo??
Nani anaejua madhara ya hizi Chanjo??
Huoni kuwa ni risk kwa taifa kufanyia majaribio kwenye Jeshi na Madaktari wake???
Hii chanjo ingekuwa imesha tumika tukaona matokeo yake hapo ningesema hakuna shida ila hakuna hata mmoja anajua madhara ya hii chanjo.
Magu hakua mjinga kusema hatuta chanjwa mpaka tujue matokeo ya chanjo.
Sasa hivi tumekuwa watu wakutishana tu kila siku tanko kila siku tamko. Mnacho kitaka Tanzania kitapatikana soon.
Kumbukeni tuna madini na mali nyingi ambazo baadhi ya nchi kubwa Duniani wana zitafuta sana.
Tanzania achane kuwa kichwa cha mwendawazimu,
Ikowapi leo ule mchanganyiko wa NMRI NA MBONA HAKUNA KUHAMASISHANA KUPIGA NYUNGU.
Wimbi la kwanza na lapili tulipita kwanini hili litusumbuee.
Watu tumeacha kumtegemea Mungu na kufikia kuambiwa tuende Kanisani kwa masaa mawili huu ni ijinga.
Kutoka taifa la kumtegemea Mungu mpaka kuwa taifa la kumpinga Mungu.
Shame on you Viongozi wa Tanzania
Naunga mkono hoja,Eti anaombea madaktari wanahimiza na kuchanja watu wafe,huyu mtu ni chizi si mzima.
Gwajima anajifanya yeye mtu wa Mungu wakati anakula vya halamu? tunajua kuwa ni haramu tumemnyamazia na akiendelea tutamuumbua.
Huyu mtu ni wa kupuuza anaendelea kurudisha mapambano ya serikali nyuma, lakini akiendelea hivi akamatwe. Hawa ndio waliompotosha mzee kwa kiasi kikubwa tukajikuta tumeingia katika matatizo makubwa.
Zipo taasisi/kampuni zitaweka sera ya kuchanja wafanyakazi wao wote kwa lazima. Najua serikali wanasoma maoni yetu, utolewe muongozo utaosimamia raia wake juu ya uhuru/hiari kushiriki hizi chanjo.
Twende na hili swala kwa akili!
Siyo tu mwizi, mtu aliyeshiriki ujambazi wa kura alafu kusema YESU NDIO KAMSHINDIA.Mwizi wa kura anapata wapi moral authority ya kumzungumzia Yesu na mambo ya wokovu? Hiki ni kituko cha karne.
Hii ni hoja au ndo ngebe zenyewe? Suala la afya ni la mtu binafsi na ndo maana Mh.rais alisema chanjo ni hiari.Ni jambo la ajabu sana nchi ipo kwenye mapambano dhid ya Covid,
serikali inajitahd kutoa elikmu kwa Raia halafu anakuja mpumbavu mmoja ambaye hajawai hata kutengeneza panadol anapotosha umma kwa tafiti zake za kipumbavu,
Huyu mtu anaachwa hivi hivi? tunapiga hatua mbele anakuja mjinga mmoja kuturudisha nyuma kwa sifa zake?
aliwai kufanya tafiti za Afya? ni mwanasayansi? ni daktari?
huyu mpaka mda huu angekua ameshavuliwa uanachama,
halafu na ww mama ukiwa mpole sana matokeo yake ndio haya, serikali inasema hv mjinga mmoja anaelekeza vile
oke
Yaani Gwajima amefikia hatua ya kumtusi Rais hivi na bado anaachwa tu azidi kupotosha?Gwajima anasisitiza kuwa Samia Suluhu amekosa maono
View attachment 1868770
Atawatesa sana CCM. Na ana ushawishi kama Haji Manara anavyowatesa Simba.Gwajima ni kinyago Tu wamekichonga wenyewe..
Wakiamua kiwatishe sawa..