ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,946
- 44,713
- Thread starter
- #121
Mauaji, nini humfanya mtu aamue kumuua mtu mwingine?
Hivi karibuni tumeona visa vya mauaji vikiongezeka, hasa vile vinavyohusishwa na siasa hapa Tanzania.
Kuna maswali mengi yananijia kichwani
Je, haya mauaji hufanywa na mtu mmoja au huwa ni kundi la watu?
Ni nini hutokea kwenye akili ya mtu mpaka afikie hatua ya kumuua binadamu mwenzake?
Mimi binafsi damu inanitisha
Nikiona damu nyingi napata trauma kabisa
Sasa hawa wanaoua, tena kwa ukatili, huwa hawahisi chochote?
Anapomkata mtu, kumpiga risasi au kumchoma moto, halafu yule mtu anaomba msaada au huruma, kweli moyo hauwaumi...

- ShesRise_1
- Replies: 167
- Forum: Jukwaa la Siasa