Kuna mtoa mada juzi kasema kwamba dada yake alikuwa in love na mshikaji fulani na mwisho wa siku yule jamaa akamtapeli ikiwemo kadi yake ya bank, na kumuacha akiwa mjamzito
Nikaona baadhi ya comments wakisema kwamba wanawake huwa tunapenda sana bila kuchunguza au kutumia akili
Sasa najiuliza, kosa la huyo dada ni nini hasa?
Kumpenda huyo mwanaume na kumwamini hilo ndiyo kosa?
Kwa nini tusimlaumu kwanza mwanaume kwa kuwa msaliti na tapeli wa mapenzi?
In short ameaminiwa ila amefanya hiyana wakulaumiwa hapa ni huyu binadamu aliekosa utu na kuongozwa...
Humu jukwaani kuna ile standard Ukiingia jukwaa fulani, unajua utakutana na nini
Ukiingia jukwaa kama hili la siasa unajua kabisa utakutana na quality fulani
Hata kama huyu mtu akiwa kwenye majukwaa mengine anaonekana tofauti, kuna ule msemo kwamba watu hawawezi kuwa serious muda wote✔️
So inategemewa mtu akifika kwenye hili jukwaa, itumike akili zaidi kuliko hisia
Mimi ni kijana mdogo, lakini nashangazwa na baadhi ya wakubwa zangu huku
Pengine kwa fikra au kwa maarifa, wanaacha kujikita kwenye hoja na kuanza kutukana au kuandika nachoweza kuita pumba, na jukwaa...
Wakuu hii habari ya uchawi nadhani sio jambo geni
Uchawi ulitajwa kwenye vitabu vya dini hasa hivi maarufu Bible&Qur'an
Kwa bible mfano Kutoka 22:18 inasema:
Usimwache mchawi kuishi
Huu ni ushahidi kua Bible inatambua uchawi
Uchawi umetajwa pia kwenye Qur’an, hasa Al-Baqarah 2:102 ambapo inazungumzia habari ya uchawi na watu kujifunza mambo hayo
Huu nao ni ushahidi Qur'an inatambua habari za uchawi
kwa mantiki hii dhana ya uchawi ni ya kale sana
Huku Africa watu bado wamekumbatia hii imani sana, sijui huko Ulaya ikoje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.