ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,071
- 44,990
- Thread starter
- #141
Uaminifu ni msingi mzuri wa maisha, lakini je, umewahi kujua kwamba uaminifu wako si wa kumpa kila mtu?
Usifanye makosa ya kuugawa uaminifu wako ovyo
Ukiamini kila mtu bila kuchunguza tabia na mwenendo wake, kuna uwezekano mkubwa wa kuishia na maumivu, majuto na vidonda vya kihisia
Uaminifu upo katika nyanja nyingi za maisha
Unaweza kumwamini mwenzako kazini kiasi cha kumweleza siri zako zote kwa sababu mnafanya kazi pamoja
Lakini je, umewahi kujiuliza kama kweli huyo mtu anastahili kuaminiwa?
Kuna uaminifu kwenye:
Biashara
Urafiki
Ndoa na mahusiano.
Familia
Ushirikiano wa...

- ShesRise_1
- uaminifu kwenye maisha
- Replies: 56
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko