diary

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tunaweka kumbukumbu sawa. The Diary of The Old Man

    Kuna wana JF walikuwa hawajazaliwa, leo wako busy kumtukana Mzee Mohamed Said na Pascal Mayalla.
  2. kaligopelelo

    Nikiokota Diary Yako itaninufaisha au nitaishia kupata karatasi za kufungia nyanya?

    Salaam Nimekaa nimefungua Diary yangu nimepitia pitia mara nikakutana na budget niliyoiandaa kwa mshahara wangu wa kwanza baada ya kuanza kazi. Nikagundua kumbe nilikuwa na utaratibu wa kuandika matumizi ya Kila mwezi na kiasi ninachokiacha kama akiba lakini nilikuja kuachana na utaratibu...
  3. Mohamed Said

    Kutoka Shajara (Diary) Yangu 2 June 1991

    KUTOKA KWENYE SHAJARA YANGU 2 JUNE 1991 Huenda msomaji utakachosoma hapo chini ukaona hakina maana kwako. Kwangu mimi hayo niliyoandika yamenipa jibu la swali lililokuwa likinitaabisha kwa muda mrefu. Hapo chini nimeandika sentensi mbili katika diary yangu tarehe 2 June 1991: "June 2, 1953...
  4. Nyendo

    Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

    Kesi ya ugaidi ( kesi ndogo katika kesi kubwa) inayoendeshwa divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa inaendelea leo ambapo upande wa Jamhuri utaleta shahidi mwingine. Leo upande wa Mashtaka walisema wanafunga ushahidi hawataendelea na shahidi mwingine. Hivyo upande wa Utetezi walianza kujijejea...
  5. Suley2019

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
  6. comte

    Wakili Kibatala: Mheshimiwa Jaji ukiisoma hukumu hii UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS pingamizi letu juu ya diary ya shahidi utaliona ni sahihi

    Kibatala: Mheshimiwa Jaji niende kwenye hii Kesi ya Wenzetu ya UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS Kama Kuna Kesi itakuisaidia basi kesi hii.. Na Kupeleka Ukurasa wa Tano, Sisi tumesema Kwamba Shahidi Ni INCOMPETENT. Kibatala: Kama unaona Kuna ugumu wa kufanya uamuzi kwenye kesi hii naomba itumie...
  7. K

    Kesi ya Mbowe: Kina Kibatala waikatae diary na simu iliyotunzwa na mahakama, Watajuaje kama imefutwa taarifa walizotaka?

    Jana kwenye kesi ya Mbowe shahidi wa Jamhuri (polisi) amefumaniwa ameingia na simu na diary kizimbani baada ya akina Kibatala kumgundua. Hiyo ni kinyume na taratibu za kutoa ushahidi na shahidi kuwa kizimbani. Sasa jaji akaamuru mahakama ikae na hio diary huku jumatatu tukisubiri hoja kwamba...
  8. B

    Kesi ya Mbowe: Usalama wa Diary ya Msemwa unahakikiwa vipi?

    Shahidi Msemwa kwenye shauri ndani ya shauri la kesi hii, alikutikana na vitu vya chabo asivyopaswa kuwa navyo kizimbani. Kwanini utetezi hawakwenda mbele zaidi kuhitaji kumkagua thoroughly kujiridhisha na kuvipata vyote? Kwanini simu alirejeshewa bila kuwa imefanyiwa dodoso lolote? Kwanini...
  9. Shujaa Mwendazake

    This means the so called “diary” is missing on the table

    Kuna kitu hapa IGP na timu yake wajifunze. Yawezekana the diary ipo lakin DPP kaona haina mashiko na kutoipeleka, au yawezekana pia haikuwepo. Jambo la msingi ni tabia ya Polisi kutoa ufafanuzi wa kumshikilia mtu na kwenda ndani zaidi kuhukumu wao na kuelezea vielelezo na kila kitu ndo hili...
  10. Sky Eclat

    Kibonzo cha Kipanya; Diary au Notebook

    Imeguswa kidogo tu tumeona yaliyotokea. Ikifinguliwa tutakimbiana hapa.
  11. M

    Diary ya Kiongozi wa Upinzani iliyotibua mambo 2020

    Kuna mengi yatakuja kuwa public lakini litakalowashtua wengi ni ‘Diary’ hii ya kiongozi ambayo ilikuwa ‘funga mwaka’ ya 2020. Wachache mtanielewa kwa sasa lakini funzo kuu ni kuwa uandishi wa taarifa nyeti katika diaries kumewaponza watu ingawa huenda kumeliokoa Taifa. Kuna walioaminika sana...
  12. B

    Way back: From my diary

    • Everyday is the new beginning • Try to lean new thing everyday • Have courage boy/girl • Courage • God • No time for excuses. • Stop thinking and start putting ideas into actions. • Failure is just a chance to learn and grow • Perfection is impossible • When thing go wrong don't go with them...
Back
Top Bottom