ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 8,615
- 20,789
Huu utakuwa uzi wa kumbukumbu zangu za kawaida ambazo si rahisi kupotea
Hii itakuwa diary yangu humu JamiiForums
Simu inaweza kupotea, au vitu nilivyohifadhi vikafutika
Lakini humu kumbukumbu zitabaki
Hata kama maisha yatabadilika au mambo yakiharibika, diary hii itaendelea kuwepo kuhifadhi vipande vidogo vya maisha yangu
Hii ni diary yangu ndani ya JF
ShesRise_1 📝