Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 5,811
- 13,067
- Thread starter
- #41
Mama anahitaji tozo zako.Asante kama
Asante kama akishindwa kujilinda mwenyewe kumchunga ni kazi bure hata huku najilia
Angalia tu usife mapema CCM ikapoteza.
#YNWA
Mama anahitaji tozo zako.Asante kama
Asante kama akishindwa kujilinda mwenyewe kumchunga ni kazi bure hata huku najilia
Pamoja Buda nikifika mbeya nitakucheck....Buda nipo kamili kwenye viunga vya kutafutia pesa nikiwa timamu.
Buda sina stress hivyo sina Sonoma (stress vs sonona = Cause and Effect relationship).
Buda ni wengi walioghairi kuoa wakina hDangote wenye pesa zao hawataki kuoa.
Hivi bill gate nae anaweza kuwa na stress na kupata sonona kwasababu ya mkewe kuachana?
Buda mtu akikikataa unachoamini wewe ni sahihi HANA KASORO ila ni MAWAZO TU MKO TOFAUTI.
Any way Niko Mbeya wiki hii, karibu MBEYA CARNIVAL tupige bia tule mbususu za kinyakyusa.
This is life LIVE IT.
#YNWA
Uchungu upi sasa, mwanamke akitoa si anampa huyo huyo mwanaume? Kiwango chenu cha ubinafsi kipo kileleniKuna utofauti Kati ya uchungu apatao mwanaume na mwanamke wakigawa nje.
We call it MANHOOD.
#YNWA
Namshangaa anavoona mwanamke ni mkosaji kumpa mwanaume k.....Wote ni wale wale tu!!tena kwa upande wetu wanaume ndio tumezidi kabisaaa
Ninapo sema WANAUME WASIOE namaanisha hata wewe USIOLEWE..Mkuu ungetuletea na za waume zetu
Unafanya maamuzi magumu na yakuja kujutia sanaa.Mimi nipo natengeneza kadi kwa ajili ya kuchangiwa harusi yangu soon ila sasa nimeshajiweka vizuri kisaikolojia kuvunja ndoa muda wowote siku nikigundua anachepuka.
Madam ACHANA na NDOA zitakuua.Uchungu upi sasa, mwanamke akitoa si anampa huyo huyo mwanaume? Kiwango chenu cha ubinafsi kipo kileleni
Khee mkuuNinapo sema WANAUME WASIOE namaanisha hata wewe USIOLEWE..
#YNWA
Wasipooa ina maanisha na wewe hutoolewa.Khee mkuu
AsanteWasipooa ina maanisha na wewe hutoolewa.
We call it cause and effect relationship.
#YNWA