Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.
My take: Nchi...
Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wake Nchini Tanzania imetoa tamko lake kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 24, 2019
Imedai kuwa Wasimamizi wa Uchaguzi kwa kiasi kikubwa waliwatenga Wagombea kutoka vyama vya Upinzani katika mchakato wa Uchaguzi huo
Imeeleza kuwa hali...
CCM haina hata mshipa wa aibu, wamejiweka madarakani serikali za mitaa. Hawana mshipa wa aibu na hawaoni kinyaa whatsoever kutawala peke yao. Sasa upinzani, what next? Mkinyamaza kweli wanatawala wao bila mshipa wa aibu!
CCM wenye akili hawashangilii ujinga huu wa kinachoitwa ushindi, malofa na...
Vyama vya upinzani hasa vile saba mlivyojitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa serikali za mtaa kwa mlichokifanya iwe funzo kwenu next time msirudie tena kwa sababu mmewanyima wananchi wenyu fursa ya kuchagua na kuchaguliwa.
Tatizo lenu mnapenda kufanya mambo kisiasa, basi kwa...
Wenyeviti wa serikali za mitaa waliochaguliwa jana katika manispaa ya Bukoba wameapishwa leo chini ya usimamizi wa mkuu wa mkoa wa Kagera.
Imeelezwa pia Chadema na Cuf wamefanikiwa kupata ushindi katika vitongoji sita wilayani Muleba katika mkoa huo wa Kagera na hivyo kuizuia CCM kupata ushindi...
Huwezi kukiondoa madarakani chama kikongwe kama CCM kwa kulalamika kwenye vyombo vya habari, au kusubiri kigawanyike, unaweza kusubiri isiwe na kulalamika tu hakutoshi.
Hadi sasa hatuoni movement yeyote serious kuonyesha kweli mna nia ya kuingia ikulu, pamoja na operation Chadema ni msingi, kwa...
Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
Sekeseke la uchaguzi wa leo wa serikali za mitaa ccm wamepita nyumba kwa nyumba kuomba wananchi waende wakapige kura baada ya watu waliojitokeza kuwa wachache.
Kwa kuwa Chadema inajiendesha kwa kutumia ruzuku ya serikali ambayo ni kodi ya wananchi basi Watanzania watapenda kuona chama hiki kikuu cha Upinzani nchini kinapata viongozi bora.
Hivyo basi kukamilika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa kunawafanya watanzania wahamishie macho na masikio yao...
Mamilioni ya wananchi hawawajui hawa walioshinda bila kupigiwa kura, wanafahamika kwa viongozi wa CCM tu. Nadhani ni busara walazimishwe kupita kila nyumba kusalimia na kujitambulisha.
Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima.
1. Wamekosa washindani nchi nzima
2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk.
3. Wamekosa wasikilizaji hadhira.
4. Wameishia kupeleka wasanii wa...
Chama cha Demokrasia Makini kimesema ili kujihakikishia ushindi wa “Kisulisuli” kwa wagombea wake wote, viongozi wote wa ngazi ya juu ya chama hicho wamegawana kwa kila mmoja kwenda katika mkoa wake na kufanya kampeni kwa kadri wanavyoweza kwa kushirikiana na wagombea pamoja na wanachama...
Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema mikoa mitatu haitafanya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kuwa wagombea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepita bila kupingwa.
Naibu Waziri wa wizara hiyo, Mwita Waitara amesema leo jijini Dar es Salaam...
Nimesikiliza mahubiri ya Askofu Mkuu na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tz,Mhashamu Askofu Nyaisonga, ameelekeza lawama zake katika vyama vya upinzani,akijenga hoja kuwa havikutumia busara na elimu katika kufikiri na kujitoa katika uchaguzi.
Amehimiza kuwa kujitoa sio suluhu,wanapaswa kukaa...
Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara katika kipindi cha Baragumu studio za channel ten wakizungumzia ushiriki wao katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Viongozi hao nguli wa kisiasa nchini wanamwaga cheche zao muda huu.
Karibu!
Nimesikia viongozi wa vyama vya upinzani wakiwaambia watu watege masikio ili wasikie maamuzi yatakayotolewa na viongozi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwani serikali ya CCM wamekuwa wakijiamulia kufanya wanayotaka.
Sasa hapa si ajabu ukasikia viongozi hao wamekamatwa kwa...
Nashauri kwamba watu wote waliopita mgambo nchi nzima wawekwe tayari na siku mbili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, wafanye mazoezi makali kabisa mitaani kama ishara ya onyo kwa watanzania wanaojiandaa kuvuruga amani.
Serikali iinunue makontena ya rungu mpya na kuwagawia watu hawa
Waziri Mkuu akoleza uchaguzi serikali za mitaa
Mwananchi, Ijumaa, November 15 2019, Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa
Hakuna kulala uchaguzi wa serikali za mitaa uko palepape. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kauli ya Waziri Mkuu wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.