ASKOFU KUONGOZA MATEMBEZI YA HIARI YA RAIA KUHAMASISHA UUNDAJI WA TUME HURU YA UCHAGUZI NA UANDIKAJI WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA!
Wapendwa Watanzania!
Tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu Mwamakula, anakusudia kuongoza Matembezi ya Hiari ya Raia yasiyopungua umbali wa Kilometa 15 katika Mikoa...
Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu zinaeleza kwamba Wakili msomi Peter Kibatala aliyekuwa wakili wa utetezi wa viongozi wa CHADEMA walioshitakiwa kwa Tuhuma za kufanya fujo kwenye Gereza la Segerea, amejiondoa kuwatetea baadhi ya washitakiwa kwenye kesi hiyo wakiwemo waliokuwa wanachama wa...
CUF CHAMA CHA WANANCHI
Desemba 20,2020 kitazindua rasmi kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Kongamano hilo litafanyika katika ofisi kuu ya chama BUGURUNI .
MWANACHI, MWANACHAMA WA CUF WOTE MNAKARIBISHWA.
Habari wadau Kuna hii aina mpya ya upigaji chupingi inayong'ara ngara inakuwaje.??
Gharama zake zipoje kwa Square meter.??
Mahitaji (materials) zinazohitajika .
mwenye sample itapendeza akiweka picha tukaangalia design bora.
King'amuzi changu kina Eutelsat 7B frequency, baada ya kuformat. Nasikia wamehamia Eutelsat sat 7C.
Kwahiyo nikisearch channel zinazokuja ni Bloomberg, Universal Tv na Imaan Tv.
Kwahiyo naomba anaejua frequency zao mpya anijuze.
Habari wanajukwaa wenzangu, natumai mu wazima mkiendelea na mapumziko ya weekend hii.
Moja kwa moja nalipanda jukwaa hili nikihitaji msaada kuhusu ajira mpya za ualimu.
Kifupi Mimi ni mhandinsi Ujenzi miaka ya 2016 nilibahatika kupata ajira serikalini ya kufundisha kwa kuwasikuwa na pa...
CHADEMA MPYA YA MWENYEKITI HALIMA MDEE KUZALIWA MIEZI MITATU IJAYO NDANI YA CHADEMA YA SASA.
Leo 22:20hrs 28/11/2020
Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist Party of China, itaisha kwa Chadema Mpya kuzaliwa ndani ya Chadema ya sasa baada ya...
Ni swali fupi tu hapa na sababu ni fupi tu ya kuletwa kulewa hili swali...
Sio rahisi mtu anapoanzisha mahusiano mapya kusema kuwa yeye ndio kaachwa au yeye ndio alifumaniwa ndio ikawa sababu ya yeye kuachwa.ila wengi huwa wanasema upande wa pili kuwa kuwa ndio wenye makosa na wao ndio...
Maandamano yanafanyika nchini Ufaransa katika maeneo kadhaa hii leo.
Hayo ni baada ya serikali kutangaza sheria mpya ambayo itazuia watu kutumiana picha za maafisa wa polisi wanapowakamata watu.
Sheria hiyo imetangazwa siku chache baada ya video kusambaa kote nchini humo ikimuonesha polisi...
Nachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine.
Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha?
Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni...
Mheshimiwa Rais nilipokuwa kidato cha pili katika somo la fizikia nilifundishwa kwamba mwendo wa gari anayeuona vizuri vizuri ni yule aliyeko pembeni na sio yule aliyeko ndani ya gari linalotembea kwani huyu anaweza kuona miti ndiyo inatembea kumbe gari alilolikalia ndilo linatembea na miti...
Wanabodi,
Mimi ni mdau wa Total, na haya ni mambo ya Total
Way wa Total ambao ni ma Sterling watatu wa vídeo maalum ya Total The Jerusaléma Challenge, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, katikati, Meneja Mtandao wa Vituo vya Mafuta vya Total, Network...
Najua hii mada inaweza kuwashtua wengi, ila nipe muda kidogo nitakuelewesha.
Juzi juzi, nilileta mada iliyokuwa inaongelea ni jinsi gani taifa letu sasa linafuata mkondo wa Kifashisti. Nilijaribu kuelezea kwa uwezo wangu huku nikiambatanisha video kadhaa kutoka kwa Profesa mbobevu wa mambo ya...
Habari wakuu?
Naomba kuuliza hivi mfano mtumishi amechukua mkopo Nmb mpya baada ya siku nne au wiki anapata barua ya uhamisho kutoka kwa katibu mkuu utumishi anahama kutoka kwa DED kwenda kwenye shirika la serikali je ule mkopo hauwezi ukaathiri uhamisho wake kwenda kwa mwajiri mpya?
Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
Hili tatizo la mpaka kati ya Tanzania na Malawi hadi leo halijatatuliwa. Suala ni kwamba, kuna dalili za mafuta ndani ya Ziwa Nyasa, ambalo Malawi wanaliita Ziwa Malawi. Na suala la uwezekano wa mafuta lilizua upendezi mpya wa ziwa kwa Malawi wakasema kwamba mpaka kati ya Tanzania na Malawi siku...
Tanzania ina uzoefu wa kuwa na Bunge la chama kimoja, lkn pamoja na kuwa na bunge la chama kimoja kulikuwa na mijadala mikali na hoja nzito zilizojadiliwa ukiwamo ule wa kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika uliotokea kwenye miaka ya 1990 al maarufu kama G55.
Wabunge wa CCM wa wakati huo kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.