mpya

  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku watu kuchukua video na picha za uwanja mpya wa JNIA, vibali vitolewe kwa wanaotaka kupiga picha

    Picha na Pixabay. Uwanja mpya wa JKNIA ni kioo cha nchi yetu yaani ni kama uso au sebule au mapokezi ya wageni wanaotembelea nchi yetu. Uwanja wetu mpya wa JKNIA unasifiwa kuwa ni moja ya viwanja vipya vya ndege ambavyo vina hadhi ya kimataifa na sifa hizo ni kutoka kwa wageni mbalimbali...
  2. Mwanamaji

    JamiiForums Tanzania RASMI: Simba yamtangaza Mfaransa Didier Gomes da Rosa kuwa kocha wake mpya

    Aliyekua kocha mkuu wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan, Mfaransa Didier Gomes da Rosa amejiunga rasmi na klabu ya Simba Sports Club. Kocha huyo ametangazwa leo na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Barbra Gonzalez.
  3. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Isiye waterfalls: Sehemu mpya ya kitalii Moshi

    Katika mkoa wenye vivutio vingi vya kitalii basi ni mkoa wa Kilimanjaro. Hii inatokana na uwepo wa mlima,ukiachilia mbali mlima huu kuwa kivutio,kuna mito inayotoka mlimani inayoteremka na baadae kuwa mto mmoja yani mto Pangani ambao unamwaga maji yake kwenye bahari ya Hindi. Uwepo wa mito...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru

    WATU wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru. Ni baada ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema jijini Mwanza, kupitisha sheria ndogo za ada na ushuri ambazo tayari zimepata baraka za Wizara...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima tu kila Rais mpya akipatikana na Kuapishwa anaanza na Walinzi wake wapya na wa Rais aliyemtangulia wanaachwa?

    Je, hili ni hitaji la Kiitifaki zaidi kutoka kwa Watu wa Usalama wa Taifa wa nchi husika au huwa ni Matakwa hasa tu ya Rais mpya anayeingia Ofisini?
  6. NCCR Mageuzi

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi yafanya uchaguzi wa viongozi Kitaifa. Martha Chiomba awa Katibu Mkuu, Anthony Komu awa Naibu Katibu Mkuu Bara

    Tarehe 16 Januari, 2021 siku ya Jumamosi chama kilifanya Kikao cha Halmshauri kuu ya Taifa kwenye ukumbi wa msimbazi Center, Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na ajenda kuu 2 Kufanya tathimini ya uchaguzi wa mwaka 2020 Kujaza nafasi zilizo wazi ndani ya chama. Kwa mujibu wa katiba...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Umebaki muda mfupi tu wa Rais mpya wa Marekani kuapishwa. Balozi wa Marekani Tanzania hatima yake haijulikani

    Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais...
  8. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Januari 26/27 , 2001 na Madai ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    *MAUAJI YA JANUARI 26/27 NA MADAI YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI CUF- Chama Cha Wananchi kinaendelea na Maandalizi ya Maadhimisho ya Mashujaa wa Chama waliouawa kinyama Januari 26 na 27 mwaka 2001. Kama tunavyokumbuka Mauaji makubwa na ya Kinyama yalifanywa na Utawala wa CCM tarehe...
  9. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Tumeiona Ihungo mpya. Jengeni Ihungo nyingine kila mkoa

    Mh. Rais, Asante kwa ukarabati wa shule ya sekondari Ihungo. Kiuhalisia huo ni ujenzi mpya. Kwa umuhimu wa elimu na kiasi kikubwa cha wanafunzi ktk sekondari zetu, Nikuombe utumie nguvu yako kujenga shule zingine za aina hii ktk kila mkoa. Gharama ya Bilioni 10.5. Ukitenga Bilioni 400...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Watu na bahati zao

    Jamaa mmoja apewa fursa mbili kukumbuka nywila (password) kufungua disk yenye sarafu mtandaoni ya bitcoin yenye thamani ya dola za Marekani milioni 240. Baada ya majaribio nane ya kutatanisha, sasa yamebaki majaribio mawili ya kukumbuka password kwenye disk ambayo ndani yake kuna sarafumtandao...
  11. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania WhatsApp yasogeza mbele muda wa kuanza kutumika rasmi kwa sera yao mpya ya faragha

    Baada ya sintofahamu iliyoendelea kwa muda wa wiki moja sasa, WhatsApp imesema kuwa inasogeza mbele muda wa kukubaliana na sera yake mpya ya faragha hadi Mei 15, 2021 badala ya tarehe ya awali iliyokuwa imewekwa ya Februari 8. Katika chapisho la blogu, kampuni hiyo ya mawasiliano inayomilikiwa...
  12. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini imeshindikana, haiwezekani, yaonesha silaha mpya

    Kwa kifupi Korea ya kaskazini imeshindikana,haiwezekani Tena,imeingia kwenye klabu ya wababe. Leo tarehe 15 Januari 2021 imeonesha kombora jipya linalorushwa kutoka kwenye nyambizi. Korea imetamba kuwa hilo Ni kombora lenye nguvu Sana hapa Duniani. Tangu Korea ilipogawanyika na kuwa Korea...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania India: Wafanyabiashara waomba WhatsApp na Facebook vizuiwe kutokana na sera mpya

    Shirikisho la Wafanyabiashara wa India (CAIT) limeiomba serikali izuie mtandao wa WhatsApp, Facebook na Facebook Messenger kutokana na sera mpya ya Faragha. Wafanyabiashara wamemuandikia Waziri wa Habari na Teknolojia kuwa India inawatumiaji zaidi ya milioni 200 hivyo kuchukua taarifa zao kwa...
  14. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli, tunaendelea kukuomba Mkoa mpya wa Nyakanazi

    Dkt. John Pombe Magufuli, hongera sana kwa kutekeleza vema majukumu yako ya urais Naomba kukukumbusha juu ya maombi ya kutengewa mkoa mpya wa Nyakanazi. Mkoa huu ilipendekezwa uundwe na wilaya za Kakonko na Kibondo (Kigoma), na Ngara na Biharamulo (Kagera). Mkoa huu uwe na jumla ya wilaya nne...
  15. DIDAS TUMAINI

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Tajiri mpya namba moja duniani

    Mwanzilishi, Mkurugenzi Mkuu, Fundi Mkuu na Mbunifu Mkuu wa kampuni ya SpaceX inayojihusisha na utengenezaji wa vyombo vya kusafiri na kufanya uchunguzi katika anga za mbali; pia mwekezaji na Mkurugenzi Mkuu na Fundi Mkuu katika kampuni ya kutengeneza magari ya umeme -Tesla; pia mwanzilishi wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ni vipi au kwa njia gani - Inawezekana kupatikana KATIBA MPYA

    Tumechoka kusikia katiba iliyopo aifai hata vingunge wa CCM Polepole na Bashiru kwa nyakati tofauti walilitetea hili kama kuku aliebanwa na yai na anakaribia kutaga. Vyama pinzani navyo mida hii huwaga kimya mpaka kesho uchaguzi utavisikia vinakurupuka kama vinatoka kwenye usingizi mzito...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwenye vilabu vya Simba na Yanga ni nani mwenye mamlaka ya kufukuza kocha au kuleta kocha mpya?

    Wakuu swali limejieleza vizuri sana , sasa naomba kufahamishwa mwenye mamlaka ya kuleta kocha na kutimua , na huwa wanatumia vigezo gani ? Taarifa nyingi za kutimuliwa kwa makocha wa vilabu hivi tunazipata bila hata kusikia vikao vya uongozi wa vilabu husika , Baada ya Kishingo kuachia ngazi...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa mwaka mpya wa 2021 na shukurani kwa Mungu kwa kutuvusha

    Maombi ya kuuaga mwaka wa 2020 na kuukaribisha mwaka mpya 2021. E Mungu Muumba mbingu, nchi na maji. Nakushukuru kwa kuwavusha watanzania wezangu salama katika mwaka wa 2020 na kuwakabidhi mwaka mpya wa 2021. Mungu mwaka ulio upita utufundisha mengi sana ila moja kubwa tulilo kubushwa ni...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Salamu za Mwaka Mpya 2021 kwa Watanzania, Tundu Lissu atoa mwongozo wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa, amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi Amewaomba wadau...
  20. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt.H.Mwinyi kumwapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu MPYA wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi ni tarehe 02-01-2021

    Updates :- RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini...
Back
Top Bottom