mpya

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbarali: Ngome mpya ya CHADEMA isiyofahamika

    Taarifa zinadokeza kwamba miongoni mwa majimbo mengi ya uchaguzi ambayo CCM itaangukia pua, limo Jimbo la Mbarali linalotajwa kuchukuliwa na Chadema , ambapo imetajwa sababu kuu kuwa ni ubora wa mgombea ubunge wa chama hicho aitwaye Liberatus Mwang'ombe , huyu kijana ameunganisha makundi yote ya...
  2. Fya-fyafya

    JamiiForums Tanzania Ona hapa aina mbili mpya za wizi wa pikipiki ulioshamiri mijini

    Hapa Nchini kumekuwepo na wimbi kubwa la wizi wa pikipiki hasa pikipiki aina ya Boxer. Tena baada ya uzuka kwa ugonjwa wa Kirona, ndo hali imekuwa mbaya. Watu (bodaboda) wengi wamekuwa wakilizwa mara kwa mara. Kwa nini pikipiki aina za boxer ndo zimekuwa zikishambuliwa sana kuibiwa? Wengi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli naomba uwashughulikie haraka waliofisadi mradi wa stendi mpya Mbezi, CHADEMA wamekiri mradi ni sh bilioni 51 siyo 71!

    Kwanza napenda kumshukuru aliyekuwa Meya wa Dsm Isaya Mwita kwa kutolea ufafanuzi namna miradi wa ujenzi wa stendi mpya Mbezi ulivyoratibiwa. Mwita amekubaliana na Rais Magufuli kwamba thamani ya mradi ni sh 51 bilioni na kwamba hadi yeye anaondolewa ofisini kulikuwa hakuna ongezeko lolote...
  4. Mtu Mzima

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa mpya wa Kisayansi uliochapishwa jana wathibitisha Rais Magufuli alikuwa sahihi kutoweka katazo la kutoka nje "lockdown"

    Utafiti mpya kabisa wa kisayansi uliochapishwa jana kwenye Jarida la Sayansi la BMJ (BMJ 2020;371:m3588 ) umethibitisha kuwa JPM alikuwa sahihi kutowafungia watu kwa sababu ya corona. Utafiti huo unaonyesha kuwa kuwafungia watu kunaongeza madhara zaidi ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Harufu ya ufisadi stendi mpya Mbezi: Je, CHADEMA ilishindwa kuisimamia Serikali ipasavyo?

    Rais Magufuli amesema kuna harufu ya ufisadi katika ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani na nchi jirani ambapo nyongeza ya Sh bilioni 20 haielewki ina tija gani. Rais Magufuli ameahidi kulichunguza suala hilo na kuchukua hatua stahiki. Ikumbukwe kuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee bado hajamsahau Jux, anatumia nguvu kubwa kumtumia mpenzi wake mpya kwa lengo la kujaribu kumpa wivu Jux

    Wazoefu wa mapenzi tunaona kabisa Vanessa Mdee bado yupo na ile michezo ya sekondari pale ambapo tulivyowapiga chini madem zetu walikuwa wanaanza michezo ile ya kujaribu kupata attention zetu kwa kutumia nguvu kubwa sana kujichoresha mbele ya wapenzi wao wapya. Na kwa kutumia instagram mbinu...
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mchumba wake Nikki wa Pili huenda akawa CAG mpya. Tayari ametuma maombi

  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TFF yazindua jezi mpya za Taifa Stars

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetambulisha jezi mpya zitakazotumiwa na Taifa Stars ikiwemo jezi ya nyumbani, jezi ya ugenini na jezi namba tatu. Oktoba 11, 2020 Tanzania itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi, jijini Dar es Salaam ambapo tayari Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta...
  9. kasulavenance

    JamiiForums Tanzania Style Mpya ya nguo kwa wanaume Mjini

  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania David William Concar Balozi mpya wa Uingereza badala ya Sarah Green

    CURRICULUM VITAE Full name: David William Concar Married to: Caroline Virginia North Children: Three 2020 FCO, Director, Protocol 2016 to 2019 Mogadishu, Her Majesty’s Ambassador 2014 to 2016 FCO, Head, International Organisations Department and Commonwealth Envoy 2012 to 2014 FCO, Head...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, kwa kuwa CCM imekataa kutupatia katiba mpya wananchi wanayoitaka, njoo upinzani ili usaidie katiba hiyo ipatikane

    Ndugu Polepole Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora kabisa ya katiba al-maarufu rasimu ya Jaji Warioba. Na baada ya kuiandaa rasimu hiyo, ulizunguuka...
  12. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Diamond ajibu nyimbo mpya disstrack kwenda kwa kiba

    Baada ya alikiba kutoa diss track yake inayokwenda kwa jina la mediocre. Ikielezwa kwamba ni dies kwenda kwa diamond... Sasa mlengwa mwenyewe yaani diamond ametoa track yake inayokwenda kwa jina la "haunisumbui" ikielezwa kwamba ni diss yaani comeback kurudi kwa alikiba Nategemea pia mawe hapa...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Lissu aja na sera mpya ya Polisi

    Baada ya kuzidiwa kisiasa Lissu aja na Sera mpya ya kukaripia Polisi
  14. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vurugu zilizoanza kuibuka Uchaguzi Mkuu: Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania atema cheche

    Haya bwana msome mwenyewe alichonena hapa.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge wa Chadema Liberatus Mwang'ombe aendelea na kampeni Mbarali

    Mgombea wa Chadema Liberatus Mwang'ombe aendelea na kampeni zake katika Jimbo la Mbarali Wananchi wengi wajitokeza kumsikiliza.
  16. NCCR Mageuzi

    JamiiForums Tanzania GE2020 NCCR-Mageuzi kuleta mfumo mpya wa elimu

    Hivi karibuni chama cha NCCR-Mageuzi kilizindua Ilani ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambayo kiujumla wake ilibeba ajenda takribani 10. Ajenda hizi ni pamoja na: 1. Muafaka wa Kitaifa 2. Katiba Mpya 3. Elimu 4. Afya na Ustawi wa Jamii 5. Mazingira na Makazi 6. Vyombo vya habari na Asasi zisizo...
  17. Scars

    JamiiForums Tanzania Dizasta vina: Ujumbe uliojificha wenye kufikirisha kwenye wimbo wake mpya wa "the verteller"

    Inafaa kunena, inafaa kunena labda ni muhimu sijui, labda kusimulia si karama kama wanavyo sema Ikiwa msimuliaji huingia hatarini, labda kweli baraka ni laana njema Wasikilizaji naskia wana ndoto na wenyewe, si uongo hadithi nzuri ndio kilele kwa wasikilizaji ila ndoto ya msimuliaji Ndoto ya...
  18. P

    JamiiForums Tanzania TRA na kampeni mpya ya ku-block Tansad za Walipa kodi

    Naona kuna policy mpya ya TRA imetokea takriban wiki 2 au 3 zilizopita za ku block Tansads za wananchi walipa kodi, ambao wanaingiza mizigo yao bandarini au kupitia airport. Hii sera kwanini ianze sasa wakati wa kampeni za uchaguzi? Kuna nini kilichojificha nyuma yake na TRA ya CCM? Kwanini...
  19. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atikisa ndani ya Wilaya mpya ya Nyehunge

    Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
  20. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kaliua, Tabora: Dkt. Magufuli aeleza sababu za Kapuya "kukatwa" na Kamati kuu ya CCM, asema amechoka amuachie kijana. Kaliua inahitaji spidi mpya

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye kura za maoni za ndani ya chama na badala yake akapewa nafasi ndugu Aloyce Kwezi. "Kwenye mchakato...
Back
Top Bottom