Aston Villa Yateua Mkurungezi Mpya wa Michezo

Patroman

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
801
1,208
Baada ya kumfuta kazi Mkurungezi wa Michezo wa zamani Jesus Garcia Pitarch.... kutokana na kutofanya vizuri katika ligi.... na kushindwa kusajiri wachezaji wa wiwango bora....Timu ya Aston Villa imemteua Jahan Lange....mwenye umri miaka 40...kuwa Mkurungezi Mpya wa Michezo....Bwana Lange anatoka katika timu ya Fc Copenhagen ambako pia alikuwa Mkurungezi wa Michezo....Lange aliwahi kufanya kazi kama meneja msaidizi katika Timu ya Wolver hamton wanderers.....kila la kheri Aston Villa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom