Uchaguzi 2020 Rekodi mpya: Mapacha kuwa wabunge wa kuchaguliwa kwa tiketi ya CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,898
141,835
Rekodi mpya inaweza kuwekwa ya mapacha kuwa wabunge kwenye bunge lijalo.

Mapacha hao ni Kulwa Biteko aliyeongoza kura za maoni jimboni Busanda na Doto Biteko ambaye ni Waziri wa Madini aliyeongoza kura za maoni jimboni Bukombe.

biteko.JPG

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom