UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref.No.EA.7/96/01/K/154
11th February 2020
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of The Open University of Tanzania (OUT), The Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) and The Office of the Solicitor...
Mwaka 2020 umeanza na fumua fumua ya hali ya juu pale BRELA lakini kwetu wadau wa BRELA na wadau wa wawekezaji tunaona ndiyo kwanza kero imeanza.
Wakati wa KAKWEZI japo BRELA kulikuwa na urasimu na baadhi ya madudu lakini angalu mambo yalikuwa yanaenda, kwa sasa kusajili KAMPUNI Tanzania kwa...
Ever since antiretroviral treatments against HIV infection were introduced in 1996, scientists have eagerly been hunting for a cure for the disease.
Although drugs can allow people who carry HIV to live normal, healthy lives, people who carry HIV have to take antiretroviral treatments for as...
Kwa wale wanaopenda kufanya kazi kwenye mashirika ya ndege, hapa kuna nafasi mpya moja ya kazi Precision Air. Maelezo yote soma kwenye PRECISION AIR VACANCIES
Maisha ya malezi yanachangamoto zake, na changamoto iliyopo ni mtoto kukataa au kumfanya akaubaliane na mwenza ambae mmefika hatua ya kutaka kuishi pamoja kama mume na mke ila mtoto ndio haivi na mwenza wako na ni mtoto mdogo (under 7 yrs) huwezi kumlazimisha akabaliane na hali halisi
Je...
Kama ilivyokuwa kwa Harmonize yawezekana kabisa huyu RAS mpya wa Mwanza ndiye chaguo la CCM kwa Kigoma Mjini.
Wakati wa kumuapisha, Rais Magufuli amesema anampeleka kijana huyo mtaalamu wa masuala ya fedha jijini Mwanza ambako ni jirani na kwao Kigoma lakini hategemei kama atatumia ukaribu huo...
Hii tarehe ya leo tarakimu zake zimekaa vizuri sana ni 0 na 2 basi.
Leo ndio siku ambayo Nabii na mtume Mwamposya amekamatwa na jeshi la polisi na kwa maana hiyo atalala rumande nadhani ni mara ya kwanza tokea apate daraja la Utume.
Siku hii haitasahaulika kwa waumini wake iwe positively au...
Jf inanipa uraibu mbaya Sana nimeshafanya kautafiti Yani kukiwa hakuna nyuzi mpya katika majukwaa yote huwa afya yangu inapata shida .
Mfano mafua makali
Kichwa kuuma
Mwili kuchoka haraka
Kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati nk.
Je nifanyaje niondokane na huu uraibu wa jf?
Kuna wakati...
Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo.
Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila...
”Simba walinifuata, nitafute kadi ya njano,
wanipe IST mpya”, hayo ni maneno ya mlinda
mlango wa klabu ya Yanga, Ramadhan Kabwili
ambapo amesema kuwa uongozi wa Klabu ya
Simba umewahi kumlaghai ukimtaka atafute
kadi ili asiweze kucheza katika mchezo wa
watani wa jadi na kimuahidi akifanya hivyo...
Mwaka mpya 2020, ni mwaka umeandamana na matukio makubwa ya kihistoria kama Marekani kumuua kwa maksudi Kamanda mkuu jeshi la mapinduzi ya Iran J. Soleimani, kutunguliwa kimakosa kwa ndege ya abiria ya Ukraine huko Iran, kushambuliwa kwa kambi za kijeshi za marekani huko Iraq na kuzusha hofu...
Kiongozi wa ACT Wazalendo.,Zitto Kabwe, amefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya mosi; Sheria ya Ukaguzi namba 11 ya mwaka 2008 kukiuka Katiba na pili Uteuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) uliofanywa na Rais Magufuli kuwa kinyume na masharti ya Katiba.
Kesi hiyo ya Kikatiba...
Rais Magufuli amemualika Sultan mpya wa Oman kuitembelea Tanzania wakati wowote.
Salamu za Rais Magufuli zimetolewa na Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi aliyeko nchini Oman alikotumwa na Rais Magufuli kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Sultan wa nchi hiyo.
Source: Channel ten
Israel imeanza hii leo kuchimba eneo la mpaka wake na Lebanon kwa ajili ya kufunga mfumo wa kujilinda utakaopita chini ya ardhi hii ikiwa ni mujibu wa jeshi la nchi hiyo.
Luteni kanali Jonathan Conrius amesema kwenye mfumo huo kutafungwa vifaa vya kutambua shughuli zozote za uchokozi. Amesema...
Habari,
Nafikiria kumfungulia mdogo wangu biashara ya Bajaji ili apate kitu cha kufanya ila sijui biashara hiyo sana.
Je, biashara ya kuendesha Bajaji inalipa? Kwa siku mtu anaweza pata kiasi gani?
Bei ya Bajaji mpya kiasi gani? Iliyo tumika kiasi gani?
Kingi chochote nijue?
Asante sana
Wakuu za mwaka mpya,
Mwenzangu anataka kufanya biashara ya boda boda sasa ameniomba ushauri anunue used 2 au mpya moja na ana 1.8 M. Mimi nimemwambia anipe muda ili nimshauri vizuri, kwa kuwa mimi sijui chochote kuhusiana na biashara hii nikaona nije huku wakuu. Naomba pia kujuzwa utaratibu wa...
Angalizo hilo limetolewa baada ya kuibuka kwa kundi la watu waliobuni mbinu mpya kwa kutumia fursa hiyo kufanya utapeli jijini Mwanza kwa kuwashawishi kuwa usajili wa laini za simu kwa alama za vidole kwa kutumia kitambulisho cha taifa unaendana na uhakiki wa akaunti ya benki ya mhusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.