Mashine ya bonanza maarufu kama dubuli inaharibu Sarafu za 200, BoT ingilieni kati

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
IMG_20200721_110749.jpg

IMG_20200721_110813.jpg
Huu ndio muonekano wa sarafu za 200 baada ya kuzamishwa kwenye dubuli au bonanza mashine za kamari za kichina.

Hii mashine inaharibu sarafu sana kiasi kwamba hazisomeki wala kuonekana vizuri.

1596477896845.jpg
Mashine ya bonanza maarufu kama dubuli, unaweka 200 unacheza.

Hata serikali inachukua kodi kupitia hizi mashine watengeneze mfumo mzuri wa kulinda hizi sarafu.
 
Hahaha mzee linakutia umaskini nini umeamua kulichongea?

Anyway, ulichoandik siyo kweli. Nimeishi nalo miezi 2 na haijawahi kutoea hicho unachosema. Mchina anafuata package ya 200 kila wiki hiyo ya kukaa humo na kubadilik rangi inatumia muda gani kuharibika?
 
Ww utakuwa unapokea kamisheni ya dubuli,ndio mana unatetea
 
View attachment 1526404

View attachment 1526405Huu ndio muonekano wa sarafu za 200 baada ya kuzamishwa kwenye dubuli au bonanza mashine za kamari za kichina
Hii mashine inaharibu sarafu sana kiasi kwamba hazisomeki wala kuonekana vizuri
View attachment 1526406mashine ya bonanza maarufu kama dubuli,unaweka 200 unacheza.

Hata serikali inachukua kodi kupitia hizi mashine watengeneze mfumo mzuri wa kulinda hizi sarafu.
Atakayenyanyasa wawekezaji kukiona - Magufuli
 
Hao jamaa wahuni kimewashinda nn kutengeza token kwa ajili ya mashine zao..mpaka watumie sarafu halali. Hizo Ni dharau
Asante sana mkuu kwa kukumbuka hili. Kama pool table hivi ingekuwaje kama wangetumia sarafu halisi? Huyu mchina kashindwa kutengeneza token?
 
Tangu ni anze kucheza hili lidude. Mwenye nyumba akija na kunikumbusha Deni kuwa lina mwaka namjibu tulifanyie happy birthday. Nilikuwa na Nyumba imefika lenta sijui kama kuna mtu ameendeleza maana nina mwaka sijafika huko. Mademu woote waliokuwa michepuko yangu siku hizi tumekuwa kaka na dada haya ni machache kati ya Mengi. Wajumbe hoyeee
 
Back
Top Bottom