Mwakyembe aja na sheria mpya za mitandao kuelekea uchaguzi mkuu, wengi zitawafunga hasa upinzani na wenye mlengo tofauti na Serikali

Donald s Omar

Member
May 22, 2020
42
125
Kwa upande wangu naona haina tatizo ,
namba 1 wahanga watakua Bongo fleva na Bongo movie.

Namba 9 Mkuu anahusika.awe makini au labda kama analindwa na sheria nyinginezo.
 

HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,096
2,000
Hizi Sheria zitawahusu CCM? Kama ni Sheria kwa wote basi nawaona UVCCM wakipata tabu magerezani ila kama ni kwa ajili ya Zitto Kabwe na Tundu Lisu tulizitarajia wakichoficha ni kuanza na majina yao kwenye kila Sheria.
Isomeke hivi;
1. If Tundu Lisu/ opposition, excluding CUF, MREMA, CHEYO, will.......the fine will be denied from participating general election of 28 October, 2020......
2. If Zitto, Tundu Lisu, Maalim Seif will not praise our bombardier, and will resist to join Magufuli...they will be detained for going against Stone/ Angel.
3. If UVCCM/MATAGA will publish any content showing any abuse to Tundu Lisu, Mbowe/ Opposition, this act will be treated as patriotism.
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
49,345
2,000
Hebu tutafsirieni kwa kiswahili, sisi wengine kingereza kinatupiga chenga

Ova
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom