Serikali na BASATA upigeni marufuku upesi wimbo mpya wa Msaga Sumu kwani una Matusi matupu na si wa kimaadili pia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu.

" Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga "

Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu.

" Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka vyote au nikupe Kimoja tu? "

Msaga Sumu anaendelea.

" Nataka Kimoja tu ila kama kina Vumbi niambie mapema ili niwe napakaa Mafuta nisichafuke sana "

Mwanamke aliyemshirikisha nae akaendelea.

" Usijali hata kama hicho Chumba kimoja utakuta kina Vumbi bado unaweza tu ukakipiga Deki ili ukifurahie zaidi "

Serikali hasa hasa BASATA utafuteni huu Wimbo muusikilize na muuzuie kuendelea kwenda Hewani. Efm waliupiga leo Saa 3, ila upesi wakauotoa.
 
Hawa wasanii wanoiunga mkono CDM ni majanga matupu. Nadhani hawana wazazi

Nimeuchukia Wimbo kwakuwa una 'Matusi' ila sikumchukia Msaga Sumu kwakuwa Yeye ni mwana CHADEMA. Kwani Mtu kuwa CHADEMA ni Kosa?
 
Unasikiliza Bongo Fleva siku hizi..., au ni mgeni kwenye hii tasnia ?, Kasikilize Nandy Ft Harmonize alafu rudi ulete maelezo...

Kwa ushauri hawa watu watengeneze version tofauti..., radio / tv version, (kwa family audience) na explicit version kwa wateja wao wengine
 
Siyo kosa kuwa chadema. Lakin wanachama wengi wa chadema ubongo wao umechanganyika na santizer.

Hata huyo Lissu kama umemsikiliza vizuri utaamini ninachokisema. Badala ya kusema atalifanyia nini Taifa, yeye mwanzo mwisho ni kumponda JPM na kutoa kauli za vitisho sambamba na kukashifu miladi iliyoanzishwa na Rais.

Mimi GENTAMYCINE ni mwana CCM Mwenzako ila pamoja na 'Kuwakosoa' na 'Kuwacharura' akina CHADEMA sijawahi na sitowahi Kuwadharau hivi.
 
Unasikiliza Bongo Fleva siku hizi..., au ni mgeni kwenye hii tasnia ?, Kasikilize Nandy Ft Harmonize alafu rudi ulete maelezo...

Kwa ushauri hawa watu watengeneze version tofauti..., radio / tv version, (kwa family audience) na explicit version kwa wateja wao wengine

Sawa Msaga Sumu nimekusika Mkuu.
 
Kwahiyo ww unatulazimisha ss tuone hayo Maelezo ni matusi km mawazo yako yalivyoona, acha ujinga hapo Hakuna matus
 
Tafsiri yako ndio italeta matusi.

Usitake kila mmoja atafsiri ulivyo tafsiri wewe, Acha sanaa ichukuwe nafasi yake.

Kasikilize SALOME ya Diamond na Rayvany, kisha ulete utofauti na hii ya Msaga Sumu.
 
Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu...

" Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga "

Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu....

" Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka vyote au nikupe Kimoja tu? "

Msaga Sumu anaendelea....

" Nataka Kimoja tu ila kama kina Vumbi niambie mapema ili niwe napakaa Mafuta nisichafuke sana "

Mwanamke aliyemshirikisha nae akaendelea.....

" Usijali hata kama hicho Chumba kimoja utakuta kina Vumbi bado unaweza tu ukakipiga Deki ili ukifurahie zaidi "

Serikali hasa hasa BASATA utafuteni huu Wimbo muusikilize na muuzuie kuendelea kwenda Hewani. Efm waliupiga leo Saa 3, ila upesi wakauotoa.

Lugha ya Picha 😀😀😀 ukitafsiri vibaya inakuwa shida lkn hapo matusi hakuna Shekheee
 
Back
Top Bottom