mpya

  1. 2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Virusi vya corona silaha mpya ya kibaiolojia toka Marekani

    Ukiwa unakimbizwa na mbwa wewe rusha mifupa nyuma tu,wakiwa bize kugombea ww tayari unachanja mbuga. Hii ni moja ya mbinu mpya kabisa ambazo ni ngumu kujulikana na kila mtu. Lengo la US ni kumdhoofisha Mchina kiuchumi baada ya kuona anakuja juu kama moto wa kifuu. Kirusi icho inasemekana...
  2. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo teknolojia mpya zinavyoua biashara kubwa na jinsi ya kuzuia biashara yako isife kwa mabadiliko ya teknolojia

    Maendeleo ya teknolojia yanatokea kwa kasi kubwa sana. Lakini kasi hii ya maendeleo na ukuaji wa teknolojia, pamoja na kuwa na manufaa kwa watumiaji wake wa mwisho, yamekuwa na maumivu makubwa kwa makampuni makubwa yaliyo kwenye sekta ambayo teknolojia mpya inaingia. Kuna mifano mingi sana...
  3. Ngwango

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Machine ya kukoroga sabuni za maji inauzwa

    Machine ya kukoroga sabuni za Maji inauzwa. Ina uwezo wa kukoroha Lita 200 kila dk,15 bei ni sh million 5 tu. Sema nami namba hizo: 0784692584: 0715888376 welcome.
  4. N

    JamiiForums Tanzania CARTOON: Hakika nchi imefika mahali pazuri mno. Katuni mpya ya Gado imemaliza kila kitu. Magufuli for Life

    Kama una nyongeza ongezea mwenyewe.
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo njia mpya ya kuzika mwili wako au wa ndugu yako

    Kampuni moja ya Marekani imetoa taarifa za kina kuhusu namna ya kuzika mtu kwa njia ambayo ni rafiki kwa mazingira. Utafiti wa majaribio ulifanyiwa maiti za watu walitoa idhini kabla ya wao kufa, umeonesha kwamba tishu laini mwilini huvunjika vunjika kwa njia salama na kuoza kabisa baada ya siku...
  6. simplemind

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa kivita kwa kutumia Drones umesambaratisha vikosi vya Syria Idlib

    Battle for Idlib: Turkey's drones and a new way of war Turkish forces destroyed two Syrian Su-24 fighter jets, two drones, 135 tanks, and five air defence systems and "neutralised" more than 2,500 fighters loyal to the Syrian government. The term neutralised is used for the killing, wounding...
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Samsung mpya kwa Dodoma

    Habarini za muda huu, naomba kujuzwa ni duka gani Dodoma, morogoro au iringa na weza kupata simu za samsang s10+,S20 na S20+. Kwa moja ya mikoa twajwa ,shukran kwa details n PM.
  8. kid ink tz

    JamiiForums Tanzania Album mpya ya Justin Bieber

    Album mpya ya Justin Bieber 'Changes' imeshika namba moja kwenye chart za Billboard 200 na kuvunja rekodi aliyoiweka mkongwe Elvis Presley miaka 59 iliyopita Justin Bieber ameweka rekodi ya kuwa msanii mwenye umri mdogo zaidi kuongoza chart hizo kubwa zaidi za album Marekani mara 7, Justin...
  9. kid ink tz

    JamiiForums Tanzania Ujio wa album mpya ya Drake: Asema itakuwa na nyimbo 10-16

    baada ya 'Scorpion' ya mwaka 2018 Wakati wa mchezo wa Toronto Raptors na Phoenix Suns jumapili ya jana Drizzy alidokeza kuwa album yake mpya haitokuwa na nyimbo nyingi kama iliyopita (scorpion) ambayo ilikuwa na mikwaju 25, Alisema kuwa anajituma kwa bidii kuimalizia album hiyo ambayo inaweza...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Huko tuendako kuna tufani linakuja! Hii siasa ya CCM Mpya ya akina Bashiru Ali na Polepole ni dalili tu!

    Kwa mtu makini na mwenye uelewa mpana wa siasa au wale wana CCM makini na wenye upeo mkubwa hawawezi kukubali kuwa huku kuhamia kwa wapinzani kwa maana ya Wabunge na Madiwani ni ishara ya kukubalika kwa CCM au kuboreka kwa sera zake, la hasha! Kuna kitu hapa kinasukwa kwa ustadi na " gharama"...
  11. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Je, naweza ku update Android mpya kutoka kwenye android 7.0?

    Swali langu ni hili wakuu: Naweza kuweka Android mpya version iliyotoka kwenye simu ya Android 7.0 mfano tecno wx4 na kadhalika? Na je, system ya simu yako ikiwa inataka ufanye update update inakuja ikiwa features gani? Interface, UI?
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya inasema kuwa zaidi ya nusu (61%) ya wanawake waliuawa na wanaume nchini Uingereza mwaka 2018 ambao walikua ni waume zao

    Ripoti mpya inasema kuwa zaidi ya nusu (61%) ya wanawake waliuawa na wanaume nchini Uingereza mwaka 2018 ambao walikua ni waume zao au waliokua waume zao. Matokeo ya uchunguzi huo yametokana visa ambavyo vimeshtakiwa au wahusika wamepatikana na hatia. Sensa ya mauaji ya wanawake, ilifanywa na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania VX-V8 (Toyota) milioni 250 mpya, MRI 1 Milioni 600 (mpya)

    VX-V8 (Toyota) milioni 250 mpya, MRI 1 Milioni 600(mpya). Ila VX - V8 ziko kama 300 ila MRI machine hazifiki 20 nchi nzima. Tambua hizi zinatumiwa na Viongozi wote wakuu wa nchi hii, kuanzia Baraza la Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Wakurugenzi wa Wizara zote...
  14. Mikopo Chefuchefu

    JamiiForums Tanzania Ntaipata wapi 'jezi ya CCM- mpya'?

    Hivi hizi jezi zishaingizwa sokoni au bado? Naziona moja moja.. Natafuta kama hizo tatu.. C mnajua 2020 hii?
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kutoka Kituo cha Ufundishaji Data cha Afrika Mashariki, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria ya Serikali

    UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/154 11th February 2020 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of The Open University of Tanzania (OUT), The Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) and The Office of the Solicitor...
  16. Janja PORI

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkurugenzi mpya, BRELA mnafukuza wawekezaji

    Mwaka 2020 umeanza na fumua fumua ya hali ya juu pale BRELA lakini kwetu wadau wa BRELA na wadau wa wawekezaji tunaona ndiyo kwanza kero imeanza. Wakati wa KAKWEZI japo BRELA kulikuwa na urasimu na baadhi ya madudu lakini angalu mambo yalikuwa yanaenda, kwa sasa kusajili KAMPUNI Tanzania kwa...
  17. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Hatua mpya katika tiba kamili ya HIV wataalamu wagundua njia ya kuifanya kinga ya mwili kupigana na virusi vya UKIMWI

    Ever since antiretroviral treatments against HIV infection were introduced in 1996, scientists have eagerly been hunting for a cure for the disease. Although drugs can allow people who carry HIV to live normal, healthy lives, people who carry HIV have to take antiretroviral treatments for as...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya moja ya kazi Precision Air, Deadline: Application isizidi 14th February 2020

    Kwa wale wanaopenda kufanya kazi kwenye mashirika ya ndege, hapa kuna nafasi mpya moja ya kazi Precision Air. Maelezo yote soma kwenye PRECISION AIR VACANCIES
  19. Eagle J

    JamiiForums Tanzania Single father/single mother: Mtoto wako anapomkataa mwenza wako uliyenae serious katika mahusiano

    Maisha ya malezi yanachangamoto zake, na changamoto iliyopo ni mtoto kukataa au kumfanya akaubaliane na mwenza ambae mmefika hatua ya kutaka kuishi pamoja kama mume na mke ila mtoto ndio haivi na mwenza wako na ni mtoto mdogo (under 7 yrs) huwezi kumlazimisha akabaliane na hali halisi Je...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Rapper Rosa Ree atoa Wimbo mpya unaoitwa "Balenciaga

    Rapper ROSA Ree Atoa Wimbo Mpya Unaoitwa "Balenciaga" Tazama VIDEO Hapa Mambo ya Vitamini Uuuuuuuuu
Back
Top Bottom