Sare mpya ya CHADEMA yatikisa nchi, wananchi waisaka kila kona bila mafanikio

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
75,991
2,000
Katika Vikao vya CHADEMA vinavyoendelea kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, dunia nzima inaangalia nani atapeperusha bendera ya chama hicho katika kuikomboa Tanzania, kuna taarifa kwamba zaidi ya watu bilion 1 duniani wanafuatilia mkutano huo .

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mfuko wa Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akisal ( 424 X 640 ).jpg

Lakini sisi wengine tumejiongeza kidogo na kuamua si tu kufuatilia mkutano wenyewe bali pia kuangalia hata mandhari ya ukumbi ikiwemo na unadhifu wa wahudhuriaji ( siyo wajumbe )

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa tukiwa tayari kwa kuanza mkutano wa kumuidhinisha  ( 692 X 640 ).jpg

Hakika huu uzi si wa kitoto ! Natoa wito kwa Chadema kuwa na CHADEMA SHOP ili kuondoa usumbufu kwa wananchi wanaozisaka sare hizi mpya bila mafanikio na huku soli za viatu vyao zikipukutika , waigaji wajaribu na hili nalo tuone kama wataweza .

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema, wakiingia katika ukumbi wa Mlimani City jiji ( 380 X 640 ).jpg

Mungu ibariki CHADEMA
 

kashibaba

Senior Member
Nov 26, 2019
194
250
Dafatri la wapiga kura limeshafungwa nadhani...chadema sikuona wakihimiza watu kwenda kujiandikisha kama mwaka 2015...watu hawataki kuona ukweli...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom