israel

  1. W

    Israel inatumia marubani wa kike kuishambulia Iran, wanawake wakipewa nafasi nao wanaweza !

    Kwa mara ya kwanza Jeshi la Israel walijaribu kutumia marubani wa kike 26 October 2024, waliweza kushambulia kambi ya jeshi la iran, kuua askari wanne na kuharibu mifumo ya ulinzi iliyojaribu kuwazuia , waliweza kufika Tehran kupiga doria na kurudi salama Israel. Round hii wameenda wengi zaidi...
  2. W

    Iran hawapo serious kabisa na mifumo ya ulinzi wa anga, hivi kweli wameshindwa kudungua hata ndege moja ya Israel ?

    Hii sio sasa maana Usrael wanaingia na kutoka kwenye anga la Iran utadhani wanacheza game. Mikwara yote ile tuliyokuwa tunasikia ya mifumo imara ya ulinzi wa anga imegeuka kuwa kama kituko, Hivi kweli ina make sense katika ndege zote hizi zinazokwenda kushambulia Iran hakuna hata moja...
  3. kiss daniel

    Bandari Abbas ya Iran yashambuliwa kwa makombora ndege na Israel

    Ndo bandari kubwa kuliko zote imepigwa ikachakaa.
  4. Ziroseventytwo

    Russia na Vladimir Putin, jifunzeni kwa Israel ya Netanyahu.

    Game inaanza tu. Maafisa wa ngazi za juu kabisa kwenye jeshi wanafyekwa kule iran. Wanasayansi wa maswala nyuklia nao wameliwa vichwa. Putin unatuangusha sana. Kumwacha Zeleskyy kuendelea kuzurura kote ulaya ba marekani kuomba msaada wa kupambana na nyie mjue hatuwaelewi!! Malizaneni na huyu...
  5. U

    Msemaji wa IDF: Israel imeipiga Iran bila kusimama kwa saa 40, ikijumuisha zaidi ya malengo 150 Tehran haina kinga tena

    Wadau hamjamboni nyo. te, Msemaji wa IDF: Israel imeipiga Iran bila kusimama kwa saa 40, ikijumuisha zaidi ya malengo 150 Tehran haina kinga tena , Emanuel Fabian Fuata Leo, saa 8:55 mchana Msemaji wa IDF Brig. Jenerali Effie Defrin, katika mkutano na waandishi wa habari, anasema...
  6. U

    Jeshi la anga Israel ilishambulia kwa mabomu kituo cha chini ardhini cha Iran kilichohifadhi makumi ya makombora

    Wadau hamjamboni nyote. Jeshi la anga la Israel ilishambulia kwa mabomu kituo cha chini cha ardhi cha Iran kilichohifadhi makumi ya makombora magharibi mwa Iran leo. Jeshi la anga la Israel limeshambulia kwa mabomu kituo cha silaha za...
  7. U

    Netanyahu asema Ndege za kivita za Israel hivi karibu zitaruka juu ya Tehran na kushambulia shabaha zote muhimu

    saa 2 zilizopita BREAKING NEWS Ndege za kivita za Israel zitaruka hivi karibuni juu ya Tehran, Netanyahu anasema Ndege za kivita za Israel hivi karibuni zitaruka juu ya Tehran na kushambulia shabaha zote muhimu za kuanzishwa kwa makasisi wa Iran, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alisema Jumamosi...
  8. MK254

    Mshauri mkuu wa Ayatollah auawa kwenye shambulizi la Israel

    Mzee Ayatollah anaachwa mpweke na lile vazi lake, huyu mshauri ndiye alikua mojawapo wa watu wa karibu yake sana, kawahishwa kwa mabikira 72. Israel imeamua kwanza kutomgusa Ayatollah ajionee Iran inavyoporomoka. ----++++++ senior adviser to Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, Ali...
  9. D

    Kituo kikuu cha kuzalisha gesi Iran nacho kinaungua mda huu!

    Al Jazeera wanatangaza Kituo Cha gesi Cha South Pars gas kilichopo kusini mwa Jimbo la Bushehr. Kadhalika Netanyahu ametangaza operation kubwa kuendelea dhidi ya Iran. (Al Jazeera News 1900 hrs) ==== Israeli forces struck Phase 14 of the South Pars gas field, causing a fire in parts of the...
  10. T

    Israel now established Air dominance over iranian space in operation rising Lion

    Iran's airspace officially belongs to Israel now. Nuclear sites, military bases, and IRGC senior officials are all on the menu. It's the beginning of the end of the Islamic regime in Iran.
  11. U

    Taarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalum chini ya ardhi underground bunker saa 10 jioni

    Wadau hamjamboni nyote, bTaarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalumu chini ya ardh underground bunker saa 10 jioni, taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, By Times of Israel The security cabinet is set to meet in an underground bunker tonight at 10...
  12. T

    Israel wanataka tu Roho ya Ayatollah Khamenei

    Watu watakufa watu wataumia kwa maelfu ila wazee wakutoa roho qka Israel wana kazi moja sio vinu vya nyuklia wala nini ila roho ya mkuu wakidini Ayatollah Khamenei. Je, ni kwani? Mpaka sasa Israel chini ya kikosi chao cha majasusi Shinbet and Mossad wamesha pata nakala na ushahidi wakutosha...
  13. Khanji kapoor

    Kwa shambulizi la jana la iran ndani ya ardhi ya israel je wanautofauti wowote na Hamas?

    Jeshi la iran kwa mujibu wao limefungulia mlango wa kuzimu jana Kwa kurusha drones za kubahatisha yaani iue yoyote Kwa maskitiko imeua watu watatu wasio na hatia Je hili jesh tofauti yao na magaidi wa hamas na hezbolla ni ipi? Jeshi lenye ueledi haliwezi kurusha mabomu km kichaa huo...
  14. A

    Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iran. Israel Anaomba Iran Isiwashambulie

    Kumekucha Israel kanza kuomba nchi za Jiran zimsemeshe Iran asiwashambulie. Vichaa kweli hawa Israel wanataka Iran wasirudishe mashambulizi hahaha nadhani Israel wameisha changan'yikiwa.
  15. Keyboard_Warrior

    Zelensky: Ugomvi baina ya Iran na Israel usisababishe nikakosa misaada

    Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake. Bado anahitaji sana misaada. https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267 JUST IN: 🇺🇦 Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with...
  16. The Zanzibar Echo

    Israel inaendelea na mashambulizi dhidi ya Iran, jeshi lasema

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) linasema kuwa linaendelea na mashambulizi ya anga katika maeneo ya Iran. Katika taarifa fupi iliyotumwa kwa Telegram, IDF ilisema kwamba "Jeshi la anga la Israel linaendelea kulenga shabaha ili kuondoa vitisho nchini Iran". Taarifa hiyo ilichapishwa pamoja na...
  17. The Zanzibar Echo

    China yalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    China inalaani "ukiukaji wa Israel wa mamlaka, usalama na uadilifu wa ardhi ya Iran", mjumbe wa Umoja wa Mataifa Fu Cong alisema katika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa saa chache zilizopita. Beijing "ina wasiwasi mkubwa" juu ya athari mbaya ya hali ya sasa katika...
  18. 5

    Iran yaonya kushambulia vituo vya US, Uengereza na Ufaransa kama zitajaribu kuikingia kifua Israel

  19. 5

    Nilienda mafichoni zaidi ya mara 5 wakati Iran inashambulia Tel Aviv - Balozi wa US nchini Israel

    Ndivyo ilivyo kuwa wakati Iran inaijibu Israel usiku wa kuamkia Jumamosi
  20. Adolph Jr

    Kwani Azam media mnaundugu na Iran au Israel?

    Yaani nawasha tv kuangalia jinsi Mu-Israel na Mu-Iraq wanavyochapana jibu ni NO SIGNAL Kwani nyie vita vyao vinawahusu Nini kukata channel dadeki 😔😔😔
Back
Top Bottom