Israel inafanya mapigo na mwendo ndani ya Lebanon, Iran waanza kulia Rasmi.
Iran kama ilivyo kawaida Kubweka bweka, safari hii wameacha Kubweka wameanza kutoa milio. Watishia kuvunja negotiation
Iran walianza kusema kuwa Israel akiendelea na mashambulizi Lebanon basi Iran nao Watajibu kwa...
Ni waziri kuwa Hali si shwari Tena kati ya Israel na marekani. Rais Trump ameamua kuukosoa kwa wazi na kuubeza utawala wa Israel bila aibu.
Leo makamu wa rais JD Vance nae ameongea na kueleza kuwa Israel hawana adabu na wanapaswa kumshukuru Donald Trump's na akaendelea kusema kuwa Israel...
Katika malengo ya vita iliyoanza February mwaka huu, Lengo mojawapo lilikuwa kubadili safu ya uongozi, na hilo limekamilika kwa kiasi kikubwa, viongozi wengi wa sasa wameshika nafasi hizo ndani ya miezi hii michache baada ya wale wa zamani kushambuliwa.
Kwa jinsi utawala uliofutwa ulivyokuwa...
Hii inatupa picha gani??
Wapambe wa iran wanaamini israel ilipigwa vibaya sana katika ile vita?
Lakini kama ni hivo mbona bado hawataki vita isimame wala iishe??
Nadhani kina zungu kuna kitu wanaficha
Israel bado inaendelea kumwaga moto Lebanon, wakati huo huo ile mikwara ya Kila aina ambayo Iran imekua Ikipigwa imefutika. Iran wameingia ubaridi, hakuna tena nywi nywi nywi
Ukumbuke kuwa Iran waliapa lazima washambulie Israel endapo Israel itashambulia Lebanon, lakini Hali imekua tofauti...
Katika hali ya kushangaza Rais Donald Trump amesema kuwa Israel imeshindwa kazi ya kupambana na Hezbollah maana imechukua muda mrefu sana na watu wanazidi kufa.
Amesema hakuna haja ya kulipua ghorofa zima kisa tu unamsaka Hezollah mmoja. Na amesema sio walebanon wote ni Hezbollah hivyo wanauwa...
Niaje waungwana
Wakuu niliwahi kuandika humu mara kibao, kwamba Dunia inakwenda inabadilika hatua kwa hatua kiasi ya kwamba kuna mabadiliko mengine yanatokea, au yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wengine hawakuyategemea.
Hii sio bahati mbaya, bali ni uhalisia wa Dunia jinsi...
Ukumbuke kuwa Iran walipiga mikwara kuwa endapo Israel itashambulia Gaza basi Iran Watajibu kwa nguvu kubwa.
Lakini tokea waseme hivyo hakuna walichowahi kufanya. Ilikua ni mikwara ya kwenye media. Leo Israel imeendelea na mashambulizi huko Gaza
Wapo walisema Iran walimaanisha Beirut TU...
Wanaukumbi.
Kiongozi wa upinzani nchini Israel na waziri mkuu wa zamani, Yair Lapid, amemkosoa vikali Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufuatia taarifa za kutiwa saini kwa hati ya maelewano kati ya Iran na Marekani.
Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa X, Lapid alieleza makubaliano...
Israel ndio imekuwa nchi pekee mashariki ya kati kuitambua Somaliland.
Ila waarabu wamepinga wanataka wawe chini ya alshabab wa somalia.
Israel inathamini amani, waarabu wwngi wanathamini extremism
Niaje waungwana
Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon.
Ila sasa taarifa hizi za kuwaepusha raia na maafa, hutumiwa na viongozi wa Israel kukimbilia kujificha kwenye bunker ili kuepuka...
Moja kwa moja.
Hatimaye jana Tarehe 12 /6 /2026 lile parade kubwa na maarufu zaidi la Mashoga Duniani "Pride Parade" limefanyika Tel Aviv , baada ya October 7 kutokana na tishio la kiusalama tamasha Hilo kubwa la LGBTQ halikufanyika limekuja tena kufanyika mwaka huu na inakadiwa watu takribani...
Juzi Iran iliishambulia Israel ikidai ni kutokana na kitendo cha Israel kuendelea Kuwashambulia Hezbollah huko Lebanon.
Baada ya shambulio la Iran nchini Israel, Rais Trump alimsihi Netanyahu asijibu mashambulizi ili mazungumzo ya kumaliza vita yasiharibike. Lakini Israel iliishambulia Iran...
Raia wa Israeli,
Mwaka mmoja uliopita, tulizindua shambulio la kihistoria dhidi ya nia ya Iran ya kutuangamiza kwa mabomu ya atomiki.
Tuliondoa tishio hilo la haraka, na pia tulimwangamiza mtawala wa kinabavu Gaidi Ayatollah Ali Khamenei.
Kama tusingechukua hatua kwa wakati na kwa nguvu...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz:
Hali hiyo inatumika kwa kitongoji cha Dahieh huko Beirut kama ilivyo kwa miji ya kaskazini [nchini Israeli]. Shambulio lolote dhidi ya miji ya kaskazini litasababisha shambulio huko Dahieh.
IDF itaendelea kufanya kazi nchini Lebanon dhidi ya shirika la...
Baada ya Iran kuishambulia Israel usoku kuamkia leo na IDF kujibu mapigo sawasawa Iran imebwaga manyanya kwa kutangaza haitaishambulia tena Israel kama Israel nayo haitawashambulia magaidi hao!!
Ombi hilo la Iran limekataliwa kwa vitendo ambavyo Israel imeendelea kuwashambulia Hezbollah ndani...
Ripoti mbalimbali za kimataifa zimedai kuwa ndani ya muda mfupi baada ya kusitishwa kwa mapigano kati ya Iran na Israel, kundi la Hezbollah lilianzisha mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi ya Israel, hatua iliyoongeza hofu ya kuendelea kwa mvutano katika eneo la Mashariki ya Kati.
Kwa...
"We are Christians. We love you and thank you for emptying Lebanon of Hezbollah. Please take care of our homes, because no one is helping us restore them."
This letter is a reminder that many ordinary Lebanese, including Christians, have suffered under Hezbollah's grip and dream of a different...
Msemaji wa Houthi wa Yemen, Yahya Saree:
Tunatangaza marufuku kamili na kamili ya urambazaji wa baharini wa Israeli katika Bahari Nyekundu, na tunaona harakati zote za adui kuwa malengo halali ya kijeshi kwa Vikosi vyetu vya Jeshi kuanzia wakati taarifa hii tutaanza kuishambulia israel.
FOR THE FIRST TIME IN TWO MONTHS.
ISRAEL STRUCK BACK INSIDE IRAN WITHIN HOURS.
AND AN IRANIAN OFFICIAL JUST SAID THE PEACE DEAL IS "NO LONGER FEASIBLE."
---
Here is exactly what happened today:
Israel struck a Hezbollah command center in the Dahieh area of Beirut this morning in response to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.