Halafu kuna kilaza mmoja anaendeshwa na mihemko hata hajielewi kavaa kobaz zimeisha mpaka zimetoboka anatembea na ndizi kusubiria kwenye ubwabwa, hitma au arobaini.
Ameshalishwa matango pori na Sheikh Matopetope ambaye anasubiria msaada wa tende toka .... Na nyama za waturuki zilizooza.
Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa.
Miezi minne sasa ana hofu Hadi na wasaidizi wake huko Iran, hawezi hata kuonekana hadharani sababu ya hofu ya kuuliwa na...
Picha inayoeleza ukweli wa "ushindi" wa Majeshi ya Israel kwa kuua mamia ya magaidi wa Hezbollah angalia hapo- malori yaliyobeba Mizoga ya magaidi wa Hezbollah kwenda kuizika.
Hii ni kazi nzuri ya IDF. Jeshi la Israeli linatetea nchi pekee ya Kiyahudi iliyowahi kuwa na itakayowahi kuwa.
Kazi...
Why Israel Could Still Restart the Iran War?
The President told us the war is over, but one of the countries still shaping the conflict never even signed the paper.
Two weeks ago, the United States announced a historic peace deal with Iran. Global markets cheered, and the Strait of Hormuz was...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz katika taarifa yake kwa Kiajemi:
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Iran, Esmail Qa’ani, hivi karibuni amekuwa akituma vitisho vingi dhidi ya Israeli. Inaonekana picha ya mshirika huyo ilimfaa zaidi kuliko mkao huu wa vitisho vya kipuuzi.
Kwa vyovyote vile...
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametangaza kwamba moja ya malengo makuu ya kijeshi ya nchi hiyo ni kufikia ukubwa wa kimaandazi katika ulinzi na mashambulizi ya anga za juu, ikiwa ni pamoja na uwezo wa baadaye wa kurusha mashambulizi dhidi ya maadui zake kutokea kwenye mzunguko wa dunia...
Israel bado wanapeleka moto Lebanon, hakuna chochote ambacho Iran wamefanya kama walivyokua wakiahidi na kutoa vitisho huko kwenye Media.
Viongozi wa Iran waligundua udhaifu wa Wafuasi wao hasa mitandaoni, hivyo wakawa wanaenda na biti, wanawageuza Midoli Wafuasi wao:
- Israel ikishambulia...
Huwezi kumtenganisha Mungu wa kweli na taifa la Israel huo ndo ukweli
Haijalishi Israel walimuasi Mungu wao Kwa miaka mingapi lakini Mungu wao LAZIMA awarudishe kwenye Agano lake
Biblia ni kitabu kinachoonyesha uhusiano wa Mungu wa kweli na taifa lake la Israel kuanzia Mwanzo Hadi Ufunuo...
Niaje waungwana
Aisee kuna mambo mengine yanachekesha, na kushangaza sana. Hebu ngoja nikupe mfano halisi hapo chini 👇
Mfano mtu anatoka kwake huko katika wilaya nyingine na kuja kwako straight kwa lengo la kuja kukushambulia na kukuchomea nyumba yako. Kweli ukiwa ndani huna hili, wala lile...
Israel inafanya mapigo na mwendo ndani ya Lebanon, Iran waanza kulia Rasmi.
Iran kama ilivyo kawaida Kubweka bweka, safari hii wameacha Kubweka wameanza kutoa milio. Watishia kuvunja negotiation
Iran walianza kusema kuwa Israel akiendelea na mashambulizi Lebanon basi Iran nao Watajibu kwa...
Ni waziri kuwa Hali si shwari Tena kati ya Israel na marekani. Rais Trump ameamua kuukosoa kwa wazi na kuubeza utawala wa Israel bila aibu.
Leo makamu wa rais JD Vance nae ameongea na kueleza kuwa Israel hawana adabu na wanapaswa kumshukuru Donald Trump's na akaendelea kusema kuwa Israel...
Katika malengo ya vita iliyoanza February mwaka huu, Lengo mojawapo lilikuwa kubadili safu ya uongozi, na hilo limekamilika kwa kiasi kikubwa, viongozi wengi wa sasa wameshika nafasi hizo ndani ya miezi hii michache baada ya wale wa zamani kushambuliwa.
Kwa jinsi utawala uliofutwa ulivyokuwa...
Hii inatupa picha gani??
Wapambe wa iran wanaamini israel ilipigwa vibaya sana katika ile vita?
Lakini kama ni hivo mbona bado hawataki vita isimame wala iishe??
Nadhani kina zungu kuna kitu wanaficha
Israel bado inaendelea kumwaga moto Lebanon, wakati huo huo ile mikwara ya Kila aina ambayo Iran imekua Ikipigwa imefutika. Iran wameingia ubaridi, hakuna tena nywi nywi nywi
Ukumbuke kuwa Iran waliapa lazima washambulie Israel endapo Israel itashambulia Lebanon, lakini Hali imekua tofauti...
Katika hali ya kushangaza Rais Donald Trump amesema kuwa Israel imeshindwa kazi ya kupambana na Hezbollah maana imechukua muda mrefu sana na watu wanazidi kufa.
Amesema hakuna haja ya kulipua ghorofa zima kisa tu unamsaka Hezollah mmoja. Na amesema sio walebanon wote ni Hezbollah hivyo wanauwa...
Niaje waungwana
Wakuu niliwahi kuandika humu mara kibao, kwamba Dunia inakwenda inabadilika hatua kwa hatua kiasi ya kwamba kuna mabadiliko mengine yanatokea, au yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wengine hawakuyategemea.
Hii sio bahati mbaya, bali ni uhalisia wa Dunia jinsi...
Ukumbuke kuwa Iran walipiga mikwara kuwa endapo Israel itashambulia Gaza basi Iran Watajibu kwa nguvu kubwa.
Lakini tokea waseme hivyo hakuna walichowahi kufanya. Ilikua ni mikwara ya kwenye media. Leo Israel imeendelea na mashambulizi huko Gaza
Wapo walisema Iran walimaanisha Beirut TU...
Wanaukumbi.
Kiongozi wa upinzani nchini Israel na waziri mkuu wa zamani, Yair Lapid, amemkosoa vikali Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufuatia taarifa za kutiwa saini kwa hati ya maelewano kati ya Iran na Marekani.
Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa X, Lapid alieleza makubaliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.