Kuna warembo humu, watu wanawaogopa kuwatongoza na kuwanyima haki yao ya msingi ya kupendwa.
Wapo humu waliokwisha jikatia tamaa, kutokana na kutokusemeshwa maneno mazuri mazuri na mabaharia.
Kupitia uzi huu, nimeamua kuwa mkombozi wenu; kama wewe ni mrembo mkali unayejiamini, na watu...