Afya ni Huduma kwa Jamii wala sio chanzo cha Mapato hivyo ni Muhimu sana kwa hizi Kodi zetu tunazolipa kuhakikisha Huduma za Kiafya zinamfikia kila mmoja wetu bila kujali kipato chao.
Lakini sio sahihi kushinikiza watu binafsi kwa kuwapangia Bei au Kuwalazimisha wachukue BIMA sababu huenda kwao...
1. Ukifika hospital za Umma ni kama upo langoni kuelekea kifo.
2. Huduma mbovu, pengine mpaka utoe Chochote nimefika Mwananyamala mabango ya kukataza rushwa na makamera kila kona utadhani maonyesho Ila huduma hupati bila kutoa pesa ya chai au ujiandae kushinda hapo hospitalin toka asubuhi mpaka...
Nimesoma kwenye mtandao wa Instagram kwamba Hospitali ya Mloganzira itaanza kuhudumia wanaotaka kuongeza au kupunguza maumbile ya mwili kama matako, matiti nk.
Je, ni sahihi kwa taasisi kama hii kutumia fedha za umma kushughulikia masuala kama haya badala ya kutumia fedha hizi kufanya tafiti za...
Swali hili linaniumiza sana kichwa.
Je watumishi hawa wa sekta ya afya mishahara yao inalipwa na bima ya afya au ni kutokana na bajeti kuu ya serikali inayotokana na kodi mbalimbali?
Kama mishahara yao inatokana na bima ya afya basi serikali haina budi kurekebisha, mishahara ilipwe kutokana na...
Imekuwa si nadra kusikia ankara za mamilioni ya pesa kwa ajili ya tiba kwenye hospitali za umma.
Nani anayepanga bei hizi na kwa vigezo gani?
Je, ni bei kwa ugonjwa, dawa, ujuzi, vifaa au majengo?
Au ni yale ya Bashe na wakulima na bei zao za vyakula?
Kwamba kama bei ni kubwa basi kila mtu...
Ieleweke kuwa kuna mlipuko wa uanzishwaji wa Hospitali binafsi almaarufu Polyclinics na Specislized clinics hapa nchini ambazo kwa maoni yangu nyingi zimejibatiza majina tu.
Nyingi ya clinic hizi zinategemea malipo kutoka mfuko wa bima ya afya (NHIF) na kiukweli bila NHIF nyingi zitakufa...
Kuna mdau amelalamika sana kwamba ameenda hospitali ya Umma akakuta huduma ni mbovu na wagonjwa ni wengi sana ila watumishi wanapiga tu story mpaka wagonjwa wengine wanazidiwa mapokezi.
Amedai mgonjwa anapokelewa saa mbili ila hadi saa nne hajapata huduma yoyote!
Naomba nikanushe na nijibu...
Hali ni mbaya katika hospital za serikali,
Huduma ni za taabu sana, Jamani, binadamu kukaguliwa na homa, ni hali ya kawaida, Ila Inapotokea hali hiyo mtu umekaguliwa, basi angalau ukutane na huduma ya haraka!
Kwa sasa, mgonjwa kukaa masaa 6 mapokezi ni hali ya kawaida na masaa manne akisubiri...
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa angalizo kwa wasimamizi wa chanjo kutolipisha watu fedha kwani chanjo hizo ni bure.
Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi wakati wa usambazaji wa chanjo hizo kwenda mikoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.