Mwana wa Kaya
New Member
- Sep 8, 2023
- 3
- 0
Nimesoma kwenye mtandao wa Instagram kwamba Hospitali ya Mloganzira itaanza kuhudumia wanaotaka kuongeza au kupunguza maumbile ya mwili kama matako, matiti nk.
Je, ni sahihi kwa taasisi kama hii kutumia fedha za umma kushughulikia masuala kama haya badala ya kutumia fedha hizi kufanya tafiti za mambo mihimu kwa jamii yote kama vile tafiti za athari za climate change kwenye afya?