Huduma katika hospitali za umma ni mbovu sana na zinatesa wananchi!

Paulsylvester

JF-Expert Member
Oct 15, 2021
1,467
3,381
Hali ni mbaya katika hospital za serikali,

Huduma ni za taabu sana, Jamani, binadamu kukaguliwa na homa, ni hali ya kawaida, Ila Inapotokea hali hiyo mtu umekaguliwa, basi angalau ukutane na huduma ya haraka!

Kwa sasa, mgonjwa kukaa masaa 6 mapokezi ni hali ya kawaida na masaa manne akisubiri vipimo ni hali ya kawaida! Na ninpoongea hili Niko hospitali moja ya (W) na ninayoandika haya, ndiyo nayaona na yananitokea nikiwa na mgonjwa akiwa na hali mbaya sana, nimefika SAA 1:30 mpaka muda huu wa SAA 4:53 bado sjahudumiwa chochote! Inauma sana!

Na Kwa macho yangu nikiwa hapa hapa, kaletwa mgonjwa, Kwa huduma kucheleweshewa, amefariki akiwa mapokezi! Maana yake inaonyesha hali hii imekita mizizi! Hili halikubaliki jamani.

Hali hii inaweza kumfanya mgonjwa afie mapokezi au akisubiri kipimo Kwa muda mrefu, na inakuwa mtu akiwa na mtu anayefahamiana naye, unaona tuu anachukuliwa katikati ya foleni, Mara tu unaona anatoka amekwisha hudumiwa,na hii hali, inashawishi utoaji wa rushwa!!

Wahudumu kupiga story wakiwa ofsini na wasijali kama kuna watu wanapaswa kuwahudumia imekuwa ni kawaida.

Lakini unajiuliza: Je, wao hali kama hiyo ikiwakuta na wao kutokuhudumiwa watajisikiaje?

Lakini, Kwa nini tunarudi nyuma kwenye kero ambazo tulikuwa tumeanza kuzisahau?

Je, Ni kweli sisi ni watu wa kusukumwa ili tufanye kazi na ndiyo maana ajira za nje zinatutema.?
 
Sasahivi hata walale ofisini hawana hofu tena ya zile tumbua tumbua..hakika jpm aliwanyoosha.

Huyu wa sasa anawalambisha asali huku akiwaruhusu wale kwa urefu wa kamba.

Hapo vipi?

#MaendeleoHayanaChama
 
Public bureaucracy is inefficiency. Its just concern about non-profit organization. So relax .
 
Hali ni mbaya katika hospital za serikali,

Huduma ni za taabu sana, Jamani, binadamu kukaguliwa na homa, ni hali ya kawaida, Ila Inapotokea hali hiyo mtu umekaguliwa, basi angalau ukutane na huduma ya haraka!

Kwa sasa, mgonjwa kukaa masaa 6 mapokezi ni hali ya kawaida na masaa manne akisubiri vipimo ni hali ya kawaida! Na ninpoongea hili Niko hospitali moja ya (W) na ninayoandika haya, ndiyo nayaona na yananitokea nikiwa na mgonjwa akiwa na hali mbaya sana, nimefika SAA 1:30 mpaka muda huu wa SAA 4:53 bado sjahudumiwa chochote! Inauma sana!

Na Kwa macho yangu nikiwa hapa hapa, kaletwa mgonjwa, Kwa huduma kucheleweshewa, amefariki akiwa mapokezi! Maana yake inaonyesha hali hii imekita mizizi! Hili halikubaliki jamani,

Hali hii inaweza kumfanya mgonjwa afie mapokezi au akisubiri kipimo Kwa muda mrefu, na hii hali, ni ya rushwa!!

Wahudumu kupiga story wakiwa ofsini na wasijali kama kuna watu wanapaswa kuwahudumia imekuwa ni kawaida

Lakini unajiuliza, Je wao hali kama hiyo ikiwakuta na wao kutokuhudumiwa watajisikiaje..?

Lakini, Kwa nini tunarudi nyuma kwenye kero ambazo tulikuwa tumeanza kuzisahau??

Je, Ni kweli sisi ni watu wa kusukumwa ili tufanye kazi na ndiyo maana ajira za nje zinatutema.?
Tulishauri hospital za umma zifungwe cctv camera ili kubaini uzembe wa watoa huduma
 
Kwa sasa, mgonjwa kukaa masaa 6 mapokezi ni hali ya kawaida na masaa manne akisubiri vipimo ni hali ya kawaida! Na ninpoongea hili Niko hospitali moja ya (W) na ninayoandika haya, ndiyo nayaona na yananitokea nikiwa na mgonjwa akiwa na hali mbaya sana, nimefika SAA 1:30 mpaka muda huu wa SAA 4:53 bado sjahudumiwa chochote! Inauma sana!
Naishauri serikali waitumie hospital ya Ikonda Makete kama sehemu ya kufundishia customer care wahudumu wake kwa vitendo

I dare to say Ikonda Consolata Fathers Hospital is the cleanest and best caring place
 
Hali ni mbaya katika hospital za serikali,

Huduma ni za taabu sana, Jamani, binadamu kukaguliwa na homa, ni hali ya kawaida, Ila Inapotokea hali hiyo mtu umekaguliwa, basi angalau ukutane na huduma ya haraka!

Kwa sasa, mgonjwa kukaa masaa 6 mapokezi ni hali ya kawaida na masaa manne akisubiri vipimo ni hali ya kawaida! Na ninpoongea hili Niko hospitali moja ya (W) na ninayoandika haya, ndiyo nayaona na yananitokea nikiwa na mgonjwa akiwa na hali mbaya sana, nimefika SAA 1:30 mpaka muda huu wa SAA 4:53 bado sjahudumiwa chochote! Inauma sana!

Na Kwa macho yangu nikiwa hapa hapa, kaletwa mgonjwa, Kwa huduma kucheleweshewa, amefariki akiwa mapokezi! Maana yake inaonyesha hali hii imekita mizizi! Hili halikubaliki jamani,

Hali hii inaweza kumfanya mgonjwa afie mapokezi au akisubiri kipimo Kwa muda mrefu, na hii hali, ni ya rushwa!!

Wahudumu kupiga story wakiwa ofsini na wasijali kama kuna watu wanapaswa kuwahudumia imekuwa ni kawaida

Lakini unajiuliza, Je wao hali kama hiyo ikiwakuta na wao kutokuhudumiwa watajisikiaje..?

Lakini, Kwa nini tunarudi nyuma kwenye kero ambazo tulikuwa tumeanza kuzisahau??

Je, Ni kweli sisi ni watu wa kusukumwa ili tufanye kazi na ndiyo maana ajira za nje zinatutema.?

Magufuli aliua uwezo wa wananchi kuhoji akajaza wanaccm kila mahali. Waambie hao waliowekwa na Magufuli wafanye kazi ya kuhoji.
 
Sasahivi hata walale ofisini hawana hofu tena ya zile tumbua tumbua..hakika jpm aliwanyoosha.

Huyu wa sasa anawalambisha asali huku akiwaruhusu wale kwa urefu wa kamba.

Hapo vipi?

#MaendeleoHayanaChama

Jpm hakunyoosha mfumo bali alikomoa anaowachukia ndio maana tatizo bado liko. Alichofanikiwa Magufuli ni kuua uhuru wa vyombo vya habari visiripoti habari za kweli, bali viripoti propaganda zake tu.
 
Back
Top Bottom