haki za kidigitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Ustahimilivu wa Digitali Hauwezi Kupatikana kwa Kuepuka Matumizi ya Digitali

    Kadiri muda unavyokwenda teknolojia za kidigitali zinaendelea kuyafikia maeneo mengi ya maisha ya watu. Sasa hivi watu huchangamana na kufanya kazi katika mazingira ya kidigitali. Kutokana na ukweli huo, watu wanakumbana na wataendelea kukumbana na mabadiliko na misukosuko wakati wa shughuli...
  2. The Sheriff

    Watu Wenye Ulemavu Wanastahili Kuwezeshwa Kutumia Fursa za Teknolojia ya Digitali

    Dunia inapitia mapinduzi ya kidigitali yenye uwezo wa kuharakisha utatuzi wa matatizo katika jamii, hivyo kuwezesha watu na jamii kwa ujumla kustawi. Teknolojia na ufikiaji nafuu wa intaneti vinaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kuondoa utofauti mkubwa wa kijamii uliopo. Teknolojia na intaneti...
  3. The Sheriff

    Wazee Wana Haki na Wanastahili Kuwezeshwa Kutumia Fursa za Kidigitali

    Leo hii vijana wengi wana-enjoy urahisi wa maisha unaoletwa na teknolojia ya digitali kama vile kufanya manunuzi mtandaoni, malipo ya kidigitali na ufikiaji wa taarifa kwa urahisi mtandaoni. Lakini wazee wengi wasio na ujuzi wa digitali wameachwa nyuma. Hata hivyo, kuna umuhimu wa wazee...
  4. J

    Teknolojia: Haki ya Faragha iheshimiwe ili kila mmoja afurahie na kunufaika na Majukwaa ya Kidigitali

    Watu wote wanastahili kufurahia Maendeleo ya Teknolojia na Mchango wake katika Maisha ya kila siku Hata hivyo, tuna Haki ya kuamua nani afahamu nini kuhusu sisi, na kuweka Mipaka katika Matumizi ya Taarifa zetu Binafsi Faragha ni Haki ya Msingi inayopelekea Haki nyingine kulindwa na...
  5. H

    Haki za kidigitali ni haki za Kibinadamu

    1.Haki za kidigitali ni haki za kibinadamu. 1.1. Haki ya mtandao Kila mtanzania ana haki ya mtandao kupata mtandao kwa gharama nafuu. Kuongezeka kwa gharama za data na ukosefu mzuri wa mtandao umekuwa changamoto katika nyanja mbalimbali. Kwani haki ya kimtandao wananchi wanashindwa kuitumia...
  6. The Sheriff

    Huduma ya Intaneti Inakuza Uchumi wa Nchi na Kuimarisha Ustawi wa Watu

    Intaneti imefungua ulimwengu mpya kwa watu wengi duniani kote. Fursa nyingi zinapatikana hapa. Teknolojia hii inatoa fursa ya watu kuboresha maisha yao kwa kuwapa ajira na kurahisisha shughuli zao binafsi ikiwemo za kibiashara. Intaneti inafungua ufikiaji wa vitu vilivyokuwa si rahisi kufikiwa...
  7. The Sheriff

    Chukua tahadhari unapopokea simu za watu usiowajua/kutoka namba ngeni

    Ulaghai wa simu ni jambo ambalo hadithi zake tunazisikia kila siku toka kwa watu wanaotuzunguka. Mara nyingine, sisi wenyewe tunajikuta tukiwa waathirika. Ulaghai huu unaweza kumgharimu mlengwa kwa kiasi kikubwa, wakati mwingine hata akiba ya maisha. Kwakuwa sote tunatumia vifaa hivi kama...
  8. The Sheriff

    Tunaishi Katika Zama Ambazo Ulinzi wa Kidigitali ni Hitaji Muhimu Sana kwa Kila Taasisi

    Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la matumizi ya simu janja, mitandao ya kijamii na biashara ya mtandaoni. Kupitia njia hizi na nyinginezo, sote tunaweka taarifa zetu binafsi kwenye mtandao zaidi na zaidi. Kila siku mamilioni ya watu huwasha kompyuta na vifaa vyao vya kidigitali...
  9. The Sheriff

    Ni Jukumu la Kila Mmoja Kuhakikisha Mtandaoni ni Mahali Salama kwa Kila Mtumiaji

    Kujua haki na wajibu wako ni muhimu kila wakati, haswa ukiwa mtandaoni. Mtandao unapanua haki yetu ya uhuru wa kujieleza, lakini pamoja na uhuru huo, kuna wajibu wa kuwatendea wengine kwa kuzingatia utu na heshima. Kuwatendea wengine kwa heshima ni muhimu mtandaoni kama tu ilivyo ana kwa ana...
  10. The Sheriff

    Marekani: Asasi za kiraia zatoa wito wa kutoathiriwa huduma ya intaneti Urusi. Matumizi ya VPN yaongezeka nchini humo

    Asasi za kiraia zimetoa wito kwa Serikali ya Marekani chini ya Rais Biden kuwalinda watoa huduma za intaneti nchini Urusi dhidi ya vikwazo. Mashirika hayo yameonya kwamba kukwamisha ufikiaji wa mtandao kutawaathiri wenye mawazo na misimamo tofauti. Wito huo umekuja ikiwa vikwazo dhidi ya Urusi...
Back
Top Bottom