khadija kopa

Khadija Kopa (alizaliwa Zanzibar, 1963) ni mtunzi wa nyimbo na mwimbaji wa muziki wa Taarab kutoka nchini Tanzania. Ameanza kuimba Taarab tangu tangu mwaka 1990 na bendi ya kwanza kujiunga nayo ilikuwa Culture Musical Club.

Mtoto wake wa kike Zuhura Othman Soud, almaarufu kama Zuchu ni mwimbaji pia. Alijiunga na Lebo ya Kurekodi ya Wasafi Classic Baby (WCB) na kutoa nyimbo maarufu kama vile: Nisamehe na Sukari.
  1. USSR

    Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

    Queen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia. USSR
  2. chizcom

    Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

    Maisha yana kwenda kasi jamani.udongo unakula watu sana. Taarabu ya kipindi cha nyuma ilikuwa nzuri na ilikwenda sambamba na bendi miaka hiyo. Kuna kipindi taarabu ilikuwa na vijembe mpaka majirani wakawa wanagombana. Nasma Hamisi kwenye nyimbo zake zilikuwa na mchuano na Khadija Kopa kwa...
  3. chizcom

    Khadija Kopa: Kuna kuzaa na kunya, mtoto hata akiwa anacho kidogo anakuona

    Alipoulizwa na mtangazaji wa Global kuhusu Zuchu kumnunulia gari, Khadija Kopa alisema kuna kuzaa na kunya na yeye ni miongoni mwa watu walio zaa, maneno hayo yametafsiliwa tofauti na watu wameenda mbali zaidi wakidai bi Khadija amewatukana wanawake wenzake ambao wamezaa watoto lakini hawajawapa...
  4. reymage

    New couple in town

    Hatimaye tetesi zimekuwa kweli! Diva wa music Bongo Sukari, Zuchu anatoka na boss wake aliyemtoa kimuziki yaani Diamond Platnumz. Jana wamenaswa Hyatt Regency wakijiachia full mahaba kiss and touch everywhere. Yasemekana anataka kumuoa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Kabla ya kuwa na...
  5. Frumence M Kyauke

    Khadija Kopa atoa ya moyoni kuhusu fununu za mahusiano ya mwanaye Zuchu na Diamond Platnumz

    Mtunzi na mwimbaji mashuhur wa nyimbo za taarabu kutoka Zanzibar Khadija Omar Kopa amepasua mbarika kuhusu uhusiano wa bintiye Zuhura Othman Soud almaarufu kama Zuchu na bosi wa WCB Diamond Platnumz. Hii ni kufuatia uvumi unaoenezwa kuwa nyota hao wawili wa Bongo wanachumbiana baada yao...
  6. Frumence M Kyauke

    Khadija Kopa: Najutia sana kitendo cha kufanya abortion

    Khadija Omar Abdallah Kopa (amezaliwa Zanzibar, 1963) ni mwimbaji wa muziki wa Taarab na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Tanzania. Mbali ya muziki, Kopa ni mama wa nyumbani, mfanyabiashara na pia mwanaharakati wa kisiasa nchini Tanzania. Khadija Kopa Jina la kuzaliwa: Khadija Omar Abdallah Kopa...
Back
Top Bottom