ally happi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ali Happi ni kijana asiyejifunza kutokana na makosa. Ilitakiwa ajifunze kipindi kile cha Mzee Kinana, akarudia makosa tena kwa Chongolo

    Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee Kinana baada ya kuukwaa Umakamu Mwenyekiti wa CCM, tukajua Hilo ni somo kubwa sana maishani mwake. Hilo likaisha. Likaja jingine tena la kujiuzulu Kwa...
  2. S

    Kafulila kubali yaishe kama Ally Happi. Kalime ama kavue migebuka. Unatia aibu kushinda mitandaoni kujipendekeza kwa mama

    Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo. Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya...
  3. J

    Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!

    Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji Alhamis Ubarikiwe sana!
  4. Carlos The Jackal

    Ally Happi Stay Strong , Never Compromise your principles !!

    Inawezekana kabisa unapitia kipindi kigumu cha Kihisia, kijamii ,Kisiasa !! Inawezekana kabisa katika kipindi hiki , mawazo mengi ,mashauri mengi yanakupata ,huenda unasukumwa Kuomba msamaha ?!!! Uombe wa Msamaha Kwa Kosa gani?. Kwamba Wale wazee , ambao Sasa ndio wameshika Mpini ,unalazimika...
  5. Elli

    Ally Happi na Kafulila "waenda na maji", Watumbuliwa Ukuu wa Mkoa

    Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi. Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
  6. John Haramba

    RC Ally Hapi aliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka waliopoteza mamilioni ya Serikali

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwasaka na kuwakamata watu zaidi ya 100 ambao wanadaiwa kupotea na kutowasilisha fedha benki zilizokusanywa kupitia Mashine za Kukusanyia Mapato (POS) kwa Halmashauri ya Bunda, Tarime Mji pamoja na Butiama. Source: Dar Mpya
  7. J

    Rais Samia awataka RC Hapi na Wakuu wa Wilaya zote Mara wajitathmini kwa Uongozi wao mbovu

    Kutokana na kukwama kwa miradi mingi mkoani Mara Rais Samia amesema anakwenda kuchunguza mwenendo wa viongozi wote wa mkoa na kwa kipindi hicho cha uchunguzi amemtaka Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wote wajitathimini kabla ripoti haijatoka. Kwa upande wa Wakuu wa idara, Rais Samia amesema...
  8. J

    Ole Sabaya, Makonda, Gambo, Happi na Chalamila waliaminiwa sana na Hayati Magufuli

    Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli. Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe. The big 5 ndio watailinda legacy...
Back
Top Bottom