KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,590
- 4,603
Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee Kinana baada ya kuukwaa Umakamu Mwenyekiti wa CCM, tukajua Hilo ni somo kubwa sana maishani mwake.
Hilo likaisha. Likaja jingine tena la kujiuzulu Kwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akarekodi video ikimuonesha akiimba Kwa kumsema mtu licha ya ujumbe wa maneno hayo hayakuelekezwa na muimbaji Moja Kwa Moja Kwa Chongolo lakini kulingana na upepo wa matukio ya kipindi kile na muda maneno Yale yanatolewa Moja Kwa Moja ilionesha mlengwa ni Chongolo. Leo Chongolo kateuliwa Tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.
Kijana huyu ana tatizo gani la kushindwa kujirekebisha?