Ole Sabaya, Makonda, Gambo, Happi na Chalamila waliaminiwa sana na Hayati Magufuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,147
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
 
Legacy ya kuumiza watu acheni ujinga nyie watu...Kupiga Watanzania Wenzie Kikatiri kama Hitler na makatiri Mengine yaliyokuepo hapa Duniani...Kuwasingizia Na kuwatishia watu wengine kisa Una Madaraka Hayo ni mambo ya kipuuzi kabisa Sio sera ya CCM wala Chama Hiki hakina Unasaba huo ni nyie wachumia tumbo mnaumiza watanzania wenzenu mnasema alikua anatetea chama stupid....
 
Lengai anashinda rufaa yake keshokutwa.

Utajua Haujui na utajuta kumfahamu Kaaya!
Lengai anapigwa mvua Kwenye Kesi take inayoendelea Mahakamani

Na bado anatakiwa na TAKUKURU Kilimanjaro ana mashtaka mengine.

Huyo dogo lazima afie jela.

Huyo kaaya anatapata kwa nini amekimbilia kudiactivate fb account yake?

Amekumbuka shuka wakati kumeshakucha
 
Uzi wa husuda huu.
====
Hata hivyo tunashukuru kwa kukujua kuwa haupo tayari kuyaendeleza mazuri ya Hayati Dr J.P.J. Magufuli. Hii ni hatua nzuri ya mleta mada kuhama kutoka unafiki kuelekea kuwa mkweli na muungwana.
 
Back
Top Bottom