Search results

  1. Saidama

    Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?

    Kuna rafiki yangu amekutwa au naweza kusema anasumbuliwa na jambo ambalo dalili zake zinaonyesha kua huenda akawa na jini mahaba ndani yake. Kwaio ameniombea kupitia jukwaa hili la ma great thinkers niweze kumuulizia jambo hili. Dalili zenyewe ambazo kwa maelezo yake ameziona ni kama zinaendana...
  2. Saidama

    Mnaofahamu: Hali ikoje dhidi ya ugonjwa wa Marburg mkoani Kagera?

    Kwa mlioko mkoani Kagera au mlio na wapendwa wenu mkoani humo mna taarifa gani mpaka sasa kuhusu ugonjwa huu, maana kumekua kimya kiasi juu ya hili? Muda si mrefu nimeona waziri mwenyewe dhamana Ummy Mwalimu anasema mpaka sasa ni watu nane tu ndio waliopata ugonjwa huo na kati yao watano ndio...
  3. Saidama

    Naomba msaada juu ya jambo hili la ajabu ambalo limetuchanganya kama familia

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ni jambo lililotushtua kama familia kutokana na uajabu wake. Ipo hivi, siku ya juzi tar 19 majira ya saa sita kasoro usiku nikiwa nimelala fofofo, simu yangu ambayo ilikuwa kwenye 'vibration mode' ilikuwa ikiita. Wife kwakuwa alikuwa bado hajalala akawa...
  4. Saidama

    Msaada: Ni kondomu gani nzuri kama 'Fiesta condom'?

    'Fiesta condom' kwangu ni kondomu bora sana kuwahi kuitumia kutokana na namna ilivyo, haipotezi ladha, yaani ni kama kavu. Sasa shida ni kuwa kwa sasa imekuwa imekua ngumu kidogo kupatikana, yaani nimeshaitafuta sana nimeikosa. Kondom zingine zinazopatikana kwa wingi nikitumia naona hakuna...
  5. Saidama

    Je, mila hizi zina maana gani?

    Kuna vitu mpaka kufkia utu uzima wangu huu nimeshaviona ila sijawai kujua maana yake. Bila kupoteza muda; Cha kwanza ni hii ya wauza maduka kutokuuza sindano majira ya usiku. Hii niliithibitisha mimi kwenyewe siku moja. Nilitoka usiku kwenda dukani kununua sindano, nikaenda duka la kwanza(kwa...
  6. Saidama

    Hivi hawa Mipango Miji wana kazi gani?

    Hawa jamaa bana ni miyeyusho yani sijui hata wanafanya vipi kazi. Ukiangalia kwa sasa kasi ya watu kujenga maeneo ya pembezoni mwa mji imekua kubwa lakini hawa jamaa siwaoni kabisa wakitimiza majukumu yao ya kupima viwanja kwa kasi ili watu wanapojenga, haya maeneo mapya angalau yawe na...
  7. Saidama

    Msaada: Je, ni sawa kwa mtu kuwa unasahau ndoto unazoota?

    Jamani wataalamu wa mambo naomba msaada wenu hali hii sasa naiona kama sio kawaida. Usiku nikilala naota ndoto vizuri kabisa, ila nikiamka asubuhi sikumbuki nilichokiota. Yaani nakuwa na kumbukumbu ndogo sana. Sababu itakuwa ni nini?
  8. Saidama

    Nani ana experience na hii kitu inaitwa 'FIXED ODDS'?

    Wadau wa betting watakua wamenielewa. Kuna mtu aliwai kununua odds za namna hii na kwakua alikua hajui kubet, akaomba nimsaidie. Alinunua mechi mbili zikiwa na matokeo ya 2-1 & 2-0. Baada ya mechi matokeo yalikuja 2-1 & 2-1, mkeka ulichanika. Io ilifanya nione kama hii kitu ina ukweli mana...
  9. Saidama

    Forex ni kitu cha kweli au udanganyifu tu na kupigwa hela?

    Ni kitu ambacho nimekua nakiona sana saivi na naona watu wengi wakitamba mitandaoni kwamba wanapiga hela ya kutosha Forex. Mtu anatengeneza mpaka milioni 3 za kitanzania kwa siku. Kiukweli nimeshawishika kuingiza mguu kwenye hii biashara japo ni jambo ambalo nitatakiwa kua mvumilivu kwa muda...
  10. Saidama

    Msaada: Ni mtandao gani kwa sasa una bando nzuri za kushushia movie

    Kipindi cha nyuma kidogo Halotel walikua na bando ya gb10 kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili alfajiri. Na sio Halotel tu, hata mitandao mingine ilikua na bando za usiku pia ambazo zilikua spesho sana kwa kushushia mizigo mikubwa kama movies na files nyingine zenye size kubwa. Kwa sasa...
  11. Saidama

    Miaka 25 ni mingi sana mtu kuwa bado hujakaa kwenye mfumo kimaisha?

    Kwa wale wenye umri mkubwa na wenye uzoefu na maisha ningeomba mnipe ushauri au mawazo yenu juu ya nafasi niliyopo. Nina miaka 25, nimeshahangaika sana kutafuta maisha ila bado sijafanikiwa hata kukaa kwenye mfumo, yani kufungua biashara ya kueleweka wala kua na kazi nzuri. Nimeshazunguka...
Back
Top Bottom