Saidama
JF-Expert Member
- Jun 10, 2022
- 742
- 1,413
Wadau wa betting watakua wamenielewa. Kuna mtu aliwai kununua odds za namna hii na kwakua alikua hajui kubet, akaomba nimsaidie. Alinunua mechi mbili zikiwa na matokeo ya 2-1 & 2-0. Baada ya mechi matokeo yalikuja 2-1 & 2-1, mkeka ulichanika. Io ilifanya nione kama hii kitu ina ukweli mana sikuwai kuiamini kabla.
Ila sasa sijawai kukutana na mtu mwingine anaenunuaga hizi odds akanipa experience yake nika comfirm. Ila kwa ukubwa wa JamiiForums najua lazima kuna mabroo wameshafanya hili. Experience zenu tafadhali?